Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Utaffikiri rais ameshushwa jana kutoka akhera. Cha msingi ni hapo uliopsema it's too late .kama wa kufa wameshaakufa ndo kwwnza bibi tozo anatoka usingizinie akija sebuleni atakuta akina MAKAMBA, NAPE, NA MWIGULU wameshaakomba hazina
 
Watu mnaomtukana Bashe hapa mnamkosea sana... Mnoo. Na ni wanafiki wakubwa
 
Wapumbavu hawa , hamna wanalojua ,ni machoko , mazezeta na makahaba wadangaji huko mjini halafu wanataka maelezo kwa jasho la mkulima ,
Useng£ huu ,halafu unategemea kilimo kikue , kwa useng£ huu ? Wa kucomand soko ?
Halafu mikundu inaandika comments za kikyuma hapa .
 
NCHI HAJIUZUKU MTU NJAA NI KALI MPAKA KWA VIONGOZI
 
Hicho kilimo cha mahindi kinachotoa gunia 2-3 kwa hekari moja, ni upumbavu.
 
Shida wanufaika siku zote sio wakulima ni madalali na wale wanaonunua na kuuza,Bei za shamba ziko chini tu shida ni Mtu kati na wafanyabiashara
Huku dodoma gunia la alizeti ni 30k Kwa mkulima je ,mjini wanauza hvyo?!!!mafuta ya alizeti ni 3000 to 3500per litre je huko mjini mnannuaje?!
 
Sahihi Tena hao wakulima wadogo ndo wameishi maisha magumu sana mwaka Jana na mwaka huu baada ya msimu kuisha maaana vyakula vyote wameuza wanaenda nnua Mchele kwa 3500 unga 2000,maisha Yao yalikua magumu sana
 
Hyo ni Bahati mbaya na kilimo Cha kutegemea mvua sio kua SIKU zote anakosa...
Kawaida sana ktk maisha Kuna mda unapata na Kuna mda kukosa
Nampa pole
 
Pamoja na kwamba Mimi naunga mkono Bashe ila wanaotakiwa kujiskia vibaya sio Bashe Bali Wakulima na Bashe anatakiwa kumueleza Samia kwamba dhana ya food security inachagizwa na uhakika wa soko lenye bei nzuri..

Na hiyo bei nzuri ya mazao inapatikana Nje ya Nchi na hapo ndipo atapata kura za Wakulima ila kuhangaika na watu wa Mjini ambao hata kura hawapigi ni ujinga na kutowaelewa watu anaowaongoza..

Pia nimemsikia Rais Kwa muktadha wake akidai kwamba Watatoa pesa kununua mahindi Kwa Wananchi via CPB na NFRA Kwa muktadha huo hakuna haja ya kuuza chakula Nje ya Nchi..

Mwisho wasipokaa vizuri na uhakika wa soko hicho mnachoita BBT itakuwa ndio mwisho wake na pesa imepotea.Aisha mabilioni yanayowekezwa kwenye Kilimo zikiwemo pesa ya mkopo zitapotea na itakuwa ni upuuzi wa Hali ya Juu..

Kana kwamba haitoshi Kwa Sasa sekta ya Kilimo ndio inaongoza Kwa kukopesheka Sasa Kauli za hivi zitaenda kubadili Kila kitu huko field..

Bashe aachwe asimamie Kilimo vinginevyo Kilimo kikiwa kinachukuliwa Kisiasa itakuwa ni upuuzi
 
Hoja ya kipuuz kabisa, mkulima anapata hizo ruzuku?

Ni nani anayeingia hizo gharama ili wewe na wenzako mpate huo mtelezo wa bei mnaotaka? Ni kazi ya mkulima hiyo?

Ni kazi ya mkulima kukaa na kusikiliza njaa zako? Na hiyo kazi ya serikali kununua mazao inamhusu nini mkulima? Wewe njanjaa zako unataka umtwike mzigo mkulima.

Hao serikali kupitia NFRA walikuwa wapi muda wote huo kushindwa kununua hayo mazao kutoka kwa mkulima?

Na ninyi ni akina nani mpaka kumpangia mkulima la kuuza, ninyi mmeshindwa kulima? Hamna mikono? Ninyi mishahara yenu na mapato yenu kuna anayewapangia matumizi?
 
Wakenya wapo huku Kilolo Mashambani kabisa wananunua MAZAO yakiwa shambani wakati mwingine.
Hoja hapo ilikuwa kuwe na utaratibu wa kuuza maana kwa hii holela inaweza kutuletea shida ya baa la njaa huko baadae
 
Bashe ni shujaa wa kupigiwa mfano, hukijui kilimo ndiyo maana unaongea hivyo, Mkulima wa Tanzania anahangaika sana kuwalisha wanaostarehe mjini halafu wanataka wapewe bure, ingia shambani ukalime mazao yako uone kama utarudi tena.
Wazo la Bashe ni wazo la kimapinduzi huwezi kulima kama hupati faida, Vivyohivyo huwezi kwenda kazini kama hupati ujira. swala la bei ni sambamba ni gharama za uzalishaji na tija, kilimo chetu kimetelekezwa hivyo gharama zauzalishaji ni kubwa sana na bei za kuuza lazima ziwe juu ilikuleta tija, hivyo basi saizi ya chakula chetu ni hicho kinachotoka njee ambacho gharama zake za uzalishaji zinalingana na soko letu.

Kwakuruhusu tu watu wauze njee Mashamba mengi mnoo yamefunguliwa kwenye kilimo cha mahindi msimu huo unaopita, jambo ambalo lingeongeza uzalishaji hasa ukizingatia watu wenye mitaji mikubwa wameingia shambani jambo ambalo ni nzuri, uwekezaji kama huu ukiendelea kufanyika gharama zitapungua na tija itaongezeka, wakulima wakubwa wanakuja na teknologia ambazo hupunguza gharama kwa mkulima wa kawaida.

Hukuna namna tutakifungua kilimo bila soko la njee, hili la ndani ni la kuwanyonya wakulima. Penginepo serikali ikubali kumfidia mkulima ili tija iongezeke.
 
Bashe kwanza si msomali,mnamkabidhi msomali wizara ya misosi kweli😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…