Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

Niliona kwenye FB akitukanwa na Raia wa Kiingereza mwenye asili ya West Indies daah!!

Jamaa anasema wao ndio wageni wa kwanza Uingereza wao ndio wangechaguliwa u PM kwani Waasia wameenda juzi juzi.
[emoji38] [emoji23] [emoji38]
Halafu utakuta huyo hata elimu hana sasa atafikaje hapo
Aanze kutafuta ubunge kwanza
Hata sijui kama kuna west indies bungeni [emoji636]
Ila najua kuna MPs 15 wenye asili ya India

Sasa wao west Indies walikuwa watumwa
 
Bashe ni Msomali hilo halina ubishi.Sunak ni Mhindi hajawahi kukataa.
Kwani Bashe anakataa?
Nyie wanyasa mbona hamsemi asili yenu?
Yule nae walimuita na kumtaja sana kuwa ana asili ya kihutu kwani angesema mimi mhutu ila nililetwa nikiwa mdogo na nikapata uraia angepungukiwa nini?

Wengi sana ni wahamiaji hii nchi na we are proud tumeijenga nchi na tuna haki ya kuishi na mtu yeyote kwa Amani hata kama akiwa mkuu wa majeshi na ana asili ya sehemu nyingine so what

Maadam ni MTz hilo tosha
Namjua Bashe na familia yake yote ni kijana mzaliwa wa Nzega ila amepambana na amependa siasa ndio fani yake ila angekuwa mechanics wala usingesema kitu
Mkosoe kwa kazi sio asili
 
Tunajiandaaje ?? Tujulisheni tunafanyaje. ?
Kama kutakuwa na njaa labda serikali itanunua tena chakula kutoka nje
Ila hali ni ngumu kila kona ya Dunia
Halafu kukiwa na dhiki sana na maafa yanazidi sijui kwanini

Mara sherehe ya Halloween [emoji316] wamekufa watu kibao
Iran wanauwa hovyo
Huko India nako daraja limekatika na kuuwa 150
Yaani balaa juu ya balaa msimu huu

Watu wanakosa hata maji
 
Tena ndio wanastahili kwasababu ya kufanyishwa kazi bure na kupigwa mijeledi.
Marcus Rashford agombanie ubunge.
Labda hawajishughulishi zaidi kwenye siasa
Wahindi wako clever mno wameingia kila mahali na uchumi wao ndio wameushika kwa asilimia kubwa

Doctors and nurses wengi sana ni wao, dentists mpaka kwenye nyumba zao binafsi wamewafungulia wanao baada ya kuhitimu
Pharmaceutical companies wao na pharmacy zao pia
Biashara nyingi sana na Wholesalers ni wao
Yuko jamaa mmoja alikuja [emoji636] ana miaka 13 namjua vizuri alikuwa anafanya kazi insurance company baadae akafungua B&B karibu na Heathrow kusaidia wafanyakazi wa Airport wakiishi hapo
Leo jamaa ni Billionaire anaitwa Arora


Wahindi ni wachapa kazi sana asikuambie mtu na wanaendelea sana kwa sababu hata waibe namna gani, hawathubutu kukwepa kodi hapa maana wanajua mziki wake
Ni kufilisiwa kabisa na kutokuaminiwa popote
Sasa hao west Indies hawapo wengi hapa ndio maana wanazidiwa.
 
Nasikia chakula kingi kinapelekwa somalia sasa
Siwezi kushangaa kwani ni uungwana kusaidia wanaohitaji
Hata Jakaya Kikwete wakati wake alituma 300 metric tons of maize [emoji535]
Somalia wana njaa sana kwa sasa kuliko wakati wowote na wanahitaji msaada

Mkuu ukiambiwa uwasaidie utakataa?
 
Siwezi kushangaa kwani ni uungwana kusaidia wanaohitaji
Hata Jakaya Kikwete wakati wake alituma 300 metric tons of maize [emoji535]
Somalia wana njaa sana kwa sasa kuliko wakati wowote na wanahitaji msaada

Mkuu ukiambiwa uwasaidie utakataa?
Ni jambo jema...Hata tukilala njaa ila tunasaidia majirani ni sawa...tunapata mibaraka
 
Watu mna vituko Sana , hakuna mtu wa kawaida atandika uzi Kama huu, bali tu Mwanaccm tena wa karibu na Bashe ( waziri) acheni tabia hii, mnatumika vibaya Sana ,Mungu akwape masamaha na imekua
 
Kama Sunak eti?
Mtakalia ubaguzi na maendeleo hakuna
Wewe andika majina ya babu zako watatu hapa walitokea wapi
Najua hata wewe sio mtz asili bali unabebwa na weusi [emoji38]
[emoji10][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]anabebwa na weusi
 
Hivi yule Kwessi Kwarteng ana asili ya Windies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…