Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

Wao walime Mirungi, sisi tulime Nafaka, halafu tuwasaidie?
Haha mkuu Somalia hawalimi mirungi labda Ndizi
Ila mirungi inatoka Yemen, Ethiopia na Kenya huko ndio wanalima na Somalia ni watumiaji tu na wanatumia haswa
Huyo anaekula mirungi kwanza analewa masaa 12 huo mda wa kula anautoa wapi na akimaliza Gomba analala masaa 10 [emoji1]
 
Horn of Africa chakula hakuna
 
Kumbe Waafrika tunakubalika huko kwa Wazungu?
Mkuu mambo yamebadilika sana na wazungu wanakupa fursa kama una elimu ya uhakika na unaweza

Ila ubaguzi serikalini hakuna kama Africa serikali zetu zitaacha ubaguzi basi na watoto wasingemsema Bashe leo

Bunge leo limejaa wa kuja na mtoto wa sister anabukua haswa anasema mjomba ipo siku utaniona kwenye bunge la [emoji636]

Huyu Kwasi amesoma sana kwa msaada na uwezo wa wazazi yaani mama Barrister na Baba alikuwa Economist in the Commonwealth secretariat

Sasa angalia vyuo alivyosoma jamaa
Wazungu wengi hawajabahatika kusoma hapo maana ni wenye vipaji tu au vingine ni wenye hela sana
 
Bashe ukiachia hapo utakuwa umeharibu. Zoezi hili likiwa endelevu kila mtu atafaidika.
 
Hizi ni dalili za kuashiria kitu kikubwa cha maangamizi kinaenda kutokea katika hii Dunia. !! Je ni Third World War ? + Nuclear ☢️ ?!! Tuombe Mungu wa mbinguni atuepushie mbali hili janga. !
 
Upo sahihi sana lkn kuna haja ya mkuu wa nchi kuingilia kati hili suala.

Leo hii Mchele dsm ni sh 3000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…