Anajidai anajua sana, yeye alikuwa mkuu wa wilaya na hatimaye mkoa, alifanya nini?Aya sasa
Heee kwa hiyo Makonda kijana wa mama humtaki tena?Huyo kwanaza ni Msomali, pili ni Muislam mwenye kufata dini yake.
Hkuna Msomali duniani na hakuna Muislam mwenye kuufata Uislam wake akaburuzwa kijinga.
Point ya msingi hii.Alivyotoa majibu ya sukari kwa simu alikuwa anaitika kwa nani!!!
Jifunze kusoma na kuelewa unachokisoma.Heee kwa hiyo Makonda kijana wa mama humtaki tena?
Labda kama kaandikiwa ila kama kaandika yeye basi hana uwaziri. Makonda anachokifanya siyo kuhoji bali ni kuonesha collective responsibility kichama ili tuonekane kama chama tunamtfutia kura Dkt Samia mwenyekiti wetu na hakuna jambo baya kabisa. Bashe nadhani ndoto yake ya urais inaishia hapo (maana Makonda hayupo hapo ki bahati mbaya)."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Wacha weeeeee.Labda kama kaandikiwa ila kama kaandika yeye basi hana uwaziri. Makonda anachokifanya siyo kuhoji bali ni kuonesha collective responsibility kichama ili tuonekane kama chama tunamtfutia kura Dkt Samia mwenyekiti wetu na hakuna jambo baya kabisa. Bashe nadhani ndoto yake ya urais inaishia hapo (maana Makonda hayupo hapo ki bahati mbaya).
Ukiona waziri yeyote anaepewa maagizo na makonda ni drama na usanii kuhadaa umma."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Karma !Ni sawa na kusema huyo ‘Bi Tozo’ hana jeuri ya kutumbua mtu.
Mawaziri wasaidizi wake wameharibu popularity ya raisi kila kitu kinaenda mrama.
Badala ya kuwatumbua, mama watu kaamua atengeneze sinema yake ya ‘hadaa’ kwa wananchi aonekane anajali. Halafu anatokea mtu anataka kutia kitumbua mchanga na hiyo move yenyewe.
Kwani huyo Makonda ukienda kanda ya ziwa unadhani utakuta kuna hata moja limetekelezwa aliloagiza si wote wanajua sio boss wao ila wanacheza sinema ya ‘bi-tozo’ tu.
Kumvaa Makonda hadharani ni sawa na kuujaribu uvumilivu wa raisi hasa kwa mawaziri walioharibu kama Bashe.
Watch this space
Mmmh hayo Bashe all the best nikutakie"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Kwani na Nchimbi anasemaje ??!!Makonda ni mdomo wa Samia, kawekwa hapo, kupewa nguvu na kuambiwa afanye hivyo. Kumgomea Makonda ni kumgomea SSH.
Chanzo ameweka ni xPost haina chanzo cha habari, itakuwa feki
Mnara wa Babeli tayari !Anajidai anajua sana, yeye alikuwa mkuu wa wilaya na hatimaye mkoa, alifanya nini?
Yeye hapendi kuulizwa, akiulizwa anaona anapunguziwa madaraka. Anakuwa mkali kweli. Lakini yeye kidimo domo kujifanya yeye ndiye kiranja mkuu kwa wenzake.
Yeye afanye kazi za chama, aongelee ya chama na siyo ya serikali.
Serikali ina msemaji wake. Afanye kazi zake za chama.
Chama kilichounda serikali hii,kwa hiyo chama hicho hakina mamlaka ya kuihoji seriakali yake!?. Ujinga ni mzigo mkubwa sana kichwani.Anajidai anajua sana, yeye alikuwa mkuu wa wilaya na hatimaye mkoa, alifanya nini?
Yeye hapendi kuulizwa, akiulizwa anaona anapunguziwa madaraka. Anakuwa mkali kweli. Lakini yeye kidimo domo kujifanya yeye ndiye kiranja mkuu kwa wenzake.
Yeye afanye kazi za chama, aongelee ya chama na siyo ya serikali.
Serikali ina msemaji wake. Afanye kazi zake za chama.
Angeendelea kukaza fuvu lake[emoji1787]Bashe kaniangusha hahahaha inasemekana kaandika hayo uko x lakini leo hii kapigiwa Simu na Makonda kaulizwa maswali na kajibu vizuri na kuahidi kusimamia maekekezo ya chama.
Hahaha kweli za kuambiwa changanya na zako…Jamani mihemko ya uko x angalieni isije kuwapotezea vibarua vyenu