Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2884613
Mleta mada mbona bichwa ;alo la habari umemtaja makonda, utumbo wa habari, Bashe hajataja jina la yeyote. Kasema hakuna mtu yeyote isipokuwa aliye-wataja tu, tena kwa vyeo vyao siyo kwa majina yao.

Vipi unaleta ufataani?
 
Kwani yeye ni mtendaji wa chama?

Bashe yupo sahihi. Mawaziri wote na watendaji wengine wote wa Serikali wanawajibika kwa aliyewateua, na siyo mwingine yeyote.

Chama kama kinaona kuna jambo ambalo halipo sawa, kinatakiwa kimhoji Rais ambaye ni kiongozi wa chama na ndiye msimamizi wa Serikali. Msimamizi wa Serikali, ndiye ana uwezo wa kuwahoji wateule wake na watendaji wote wa Serikali.

Makonda ni mpuuzi. Anawarukia watu ambao hawawajibiki kwake wala kwa chama bali kwa serikali na wakuu wa Serikali.
Acha vichekesho vyako "eti chama kimuhoji Rais"!? Rais huyo huyo ambaye ni mwenyekiti!? Yaani ajihoji mwenyewe!?

Jamaa zetu South Africa unaona jinsi chama kinavyoweza kumuwajibisha Rais akienda kinyume. Hii ni Kwa sababu Rais hapaswi Tena kuwa mwenyekiti wa chama hivyo chama kikiona Rais anapotoka kina uwezo wa kumuwajibisha.
 
Bashe kaniangusha hahahaha inasemekana kaandika hayo uko x lakini leo hii kapigiwa Simu na Makonda kaulizwa maswali na kajibu vizuri na kuahidi kusimamia maekekezo ya chama.

Hahaha kweli za kuambiwa changanya na zako…Jamani mihemko ya uko x angalieni isije kuwapotezea vibarua vyenu
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Amepokea maelekezo na kayajibu kwa ufasaha
 
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2884613
Hii ndiyo moja ya Vita ambayo GENTAMYCINE nilikuwa naitamani sana kama ambavyo nazitamani pia na za Maadui wake Wakubwa Makonda akina Nchemba, Makamba na Mnauye.
 
Back
Top Bottom