FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mleta mada mbona bichwa ;alo la habari umemtaja makonda, utumbo wa habari, Bashe hajataja jina la yeyote. Kasema hakuna mtu yeyote isipokuwa aliye-wataja tu, tena kwa vyeo vyao siyo kwa majina yao."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Vipi unaleta ufataani?