Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Tanzania ni ngumu kutenganisha serikali na Chama,Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM na ata ikitazama Wajumbe wa Kamati kuu ya chama Spika wa Bunge ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM pamoja na Waziri Mkuu.
Hoja yako ingekuwa na mashiko kwa mfumo wa nchi kama Afrika Kusini Mwenyekiti wa ANC siyo Rais wa nchi.
Makonda anawahoji Watendaji kwa niaba ya Wananchi waliotoa kero zao!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Alivyotoa majibu ya sukari kwa simu alikuwa anaitika kwa nani!!!
Makonda yupo sahihi tu, mfumo wa nchi yetu Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM na akina Makonda ni wasaidizi wake kuisimamamia serikali,sasa wanataka Makonda akae kimya wakati Wananchi waliopiga kura kwa chama chake kushika dola wanalalamika.Kwanza Bashe ni nani ndani ya CCM ata asihojiwe na viongozi wa chama chake?
Kama hataki kuhojiwa na chama,ajiuzulu akasimamie miradi yake ya sheli!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani serikali iliyopo madarakani ni ya chama gani na Rais ni Mwenyekiti wa chama gani?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Usichanganye chama na serikali kushinda CCM sio CCM wanatawala nchi ni Samia so bashite hana uongozi na utawala serikalini anao kwenye chama chao .

Huwezi tawala serikali eti maana wewe ni kiongozi wa chama mtu akikosea chamani ndio unahusika mtu akigombea kwa chama chenu uomgozi fulani mnapigania
 
Yai na Kuku kilianza Kipi......? 😅

Ndiyo kwanza January, 2024

Hadi kufikia Oktoba, 2025 tutaona na kusikia mengi
 
Bashe anashindwa tu kuelewa na kujielewa, Makonda ndiye msemaji wa chama, na wote wanatekeleza sera na na malengo ya chama, sasa msemaji wa chama katika pita zake akakutana na lidudu fulani yeye kama msemaji wa chama atapata majibu wapi? Kama sio kwa muhusika, kupitia chama ndio wao wamepata nafasi hizo,
KWA SASA WAVUMILIE TU HAKUNA NAMNA TENA!, KWA UTENDAJI NA UTEKELEZAJI DUNI WA UTENDAJI NI LAZIMA UBAINISHWE NA UWEKWE WAZI ILI WANANCHI NA HATA WAPIGA KURA WAJIONEE KIFAA WALICHOKICHAGUA.
 
Kama Rais ndo kampa hilo jukumu amsaidie kuwawajibisha watendaji wake?!
 
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2884613
Muongo huyo msomali!! Kwamba Mwenyekiti wa CCM hawezi kumhoji? Ok Makamu mwenyekiti CCM anaweza asimhoji Kwa sababu wanatoka nchi Moja; Katibu Mkuu CCM hawezi Kumhoji? Katibu Mwenezi hawezi kumhoji?

Aache uhuni yeye na wahuni wenzake
 
Nashangaa Mwenezi wa Chama anamkoromea Mkurugenzi kuwa anaweza kumtumbua. Na Mkurugenzi alivyo kilaza anaanza kuimba Rashi. Ngoja Makonda awadharilishe, maana watu wenyewe hawajitambui.
 
Huyu bwana aliyepandisha Bei ya Sukari ili mabepari wampe rushwa Leo ndo amekuwa shujaa kwenu?

Hii nchi imejaa wapumbavu
 
Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??

Au Mimi ndo cjaelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bashe ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine,hata katibu tawi wa tawi analotoka bashe ana mamlaka ya kumwita na kumhoji,acha katibu ccm taifa,bashe kinachomsumbua ni ile hari ya kujimwambafai tu,kama waziri mkuu mwenyewe kapewa maelekezo,sembuse huyu msomali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…