4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
We jinga sana, chama na serikali wapi na wapi pumbavuNa kwenye chama bosi wake nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jinga sana, chama na serikali wapi na wapi pumbavuNa kwenye chama bosi wake nani?
Huyu dogo amezidi sana , ngoja akutane na wanao jitambua japo wapo hukoKimenuka !
We umeiona wapi hiyo roho ya kichawi!?Makonda amemtaja wapi hapo, we una roho ya kichawi
Source hio hio Trust me BroWeka chanzo tujisomee wenyewe sio unaanza eti oh trust me bro😎😎
Mtunzi wa hii script ya sasa apongezwe mana muvi linaanza wahusika wamezielewa vizuri nafasi zao.... Acha tuone hadi 2025 wengine tunangoja yaanze mambo ya kamati za ufundiKwani yeye ni mtendaji wa chama?
Bashe yupo sahihi. Mawaziri wote na watendaji wengine wote wa Serikali wanawajibika kwa aliyewateua, na siyo mwingine yeyote.
Chama kama kinaona kuna jambo ambalo halipo sawa, kinatakiwa kimhoji Rais ambaye ni kiongozi wa chama na ndiye msimamizi wa Serikali. Msimamizi wa Serikali, ndiye ana uwezo wa kuwahoji wateule wake na watendaji wote wa Serikali.
Makonda ni mpuuzi. Anawarukia watu ambao hawawajibiki kwake wala kwa chama bali kwa serikali na wakuu wa Serikali.
Tupe mfano wa waziri aliyeteuliwa bila kuwa na Chama hapa Nchini.
Wacha habari ya katiba tupe mfano hai lini lilitokea?..nenda kasome KATIBA.
Katiba inasemaje??Wacha habari ya katiba tupe mfano hai lini lilitokea?
Sio kwenye karatasi tu bali kwa vitendo?
Wacha habari ya katiba tupe mfano hai lini lilitokea?
Sio kwenye karatasi tu bali kwa vitendo?
Hapa sio kama China kwa Wakomunisti.Bashe umechemsha, "kumbuka chama kimeshika dola". Lazima ahoji kuhusu ilani ya chama.
Bashe yuko sawa."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Uone nini wakati message deliveredNgoja tuone... 😀 😀
Kimeumana"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Rais,Mwenyekiti wa Chama na Katibu mkuu wa Chama.Na kwenye chama bosi wake nani?
Hua mnapima vipi imani kupotea?Ameuchoka uwaziri huyu.Makonda ndio amerejesha Imani ya watu Kwa ccm harafu Bashe anasemaje?
Chama ni Bora kuliko Bashe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha
Kaukana unyonge [emoji23]
Polisi wamhoji boss wao,huo ni upumbavu.Kwahiyo hata akivunja sheria, polisi hawana ruksa kumuita kumuhoji au yeye ndo atawaita polisi kuwahoji??
Au Mimi ndo cjaelewa 😂😂😂
Wazee I was joking nothing serious, punguzeni kuni qoute 😂😂😂
Ni changamsha Uzi tu