Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtunzi wa hii script ya sasa apongezwe mana muvi linaanza wahusika wamezielewa vizuri nafasi zao.... Acha tuone hadi 2025 wengine tunangoja yaanze mambo ya kamati za ufundi
 
Polisi wamhoji boss wao,huo ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…