Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

Walitawala enzi za wajinga sasahivi watu ni werevu sana hata kupata nafasi ya kutawala utatumia akili nyingi
 
Yule jamaa alimtoa hadi babu yangu oysterbay. Ile nyumba akiamuru ilipiwe milioni 106 kwa wakati ule ili mzee abaki nayo. Mzee akasema siihitaji. Akaondoka.kutoka hapo ukawa mlango wa kumiliki nyumba nyingi zaidi hata ninayoishi sasa.
 
Jackson Makweta alikua na roho mbaya alikua waziri wa kilimo
Acheninuonge. Aliyemfukuza Mwinyi ni Mzanzibar mwenzake kwa jina la Natepe. Mbona mnapenda kuzushia watu? Unapata faida gani kwa mfano?

 
Hatujatunga bali jana TBC ikiwa live walitamka ni Makweta, hivyo sio kosa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…