Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.

Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?

Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutumie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Mkuu kuna kachumbari yenye kitunguu swaumu?
 
Kwahili la hizi dawa za asili,Ni mpumbavu atazikataa na kudhani lazima dawa iende maabara ya mzungu ndiyo iaminike.

Sisi km nchi tunazo mamlaka kuhusu madawa na wanaelekeza tuzitumie sababu zimeonyesha kutibu lkn tunabisha tunasema ni ushirikina sababu tu siyo Bill Gate katengeneza au mzungu.

Hivi vitu wakati wa Covid 19 vesheni ya kwanza waliugua wengi ndugu na rafiki zetu walitumia na walipona.

Huwezi kujua kitu mtanzania anaamini,anataka,namna ya kuwaza na kufikiri.Ila tuna unafiki mkubwa sana.
 
Tazameni hii video fupi jinsi waziri na wenzake wakipiga kimombe.

Watanzania nafikiri sasa mwenye macho haaambiwi tazama na za mbayu wayu changanya na zakwako.
 
Unao ushahidi gani kuhusu madai haya! Kuna utafiti wowote unaoonyesha ushadi huo? Ninaposema 'utafiti' usiniwekee mambo ya vijiweni au 'hearsay!.
Maswali mengine au tuseme ubishi mwingine unashagaza sana - hivi unafikiri kwa nini watoto, vijana na baadhi ya watu wazima hawasumbuliwi na KOVID? Labda tuanzie hapo - ukipata jibu rudi hapa utu - update.
 
Kwahili la hizi dawa za asili,Ni mpumbavu atazikataa na kudhani lazima dawa iende maabara ya mzungu ndiyo iaminike....

Mkuu, tatizo wengi wanao leta ubishi na kejeri linapokuja suala la kutumia miti shamba wakati mwingine kutibu hata magonjwa yaliyo shindikana - mara nyingi watu wa aina hiyo wanasumbuliwa na colonial hangover - as far as they are concern wanawachukulia wazungu kana kwamba ndio alpha na omega kwa kila nyanja including madawa ya binadamu na mimea.

Kinacho sikitisha zaidi baadhi ya waswahili hawajui kwamba asili mia kubwa ya western medicine zilikuwa synthesized kutoka kwenye asili ya miti shamba, mfano: Kwinini/klolokwini zilitokana na miti aina ya cinchona inayo patikana Malysian na Tanga, potent anti biotic medicine ilitokana na uyoga,dawa za usingizi,kuzuia maumivu, dawa ya mafua na flu inapatikana kwenye ecalyptus trees (Vicks) nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…