DOKEZO Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

DOKEZO Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ckuwahi fikiri kama muheshimiwa waziri ungeweza kureply hizi text na kusikiliza maoni mbalimbali ya wadau wa jamii forum.

Hakika hii n kaz nzuri iliyotukuka. Ila Lai yangu kwa wanajamii forum wenzangu baada ya kuona tatzo limetokea tusiwe watu wa mbele kulaani na kutukana bali kupitia Hilo tatzo hakika iwe n changamoto na fursa ya kutoa mawazo yetu na kushauri nn kifanyike na wapi tunakosea ilimradi kesho hyo kitu isijirudie.

Na hii ndo solution ambayo inaweza tufikisha mbali zaidi.[emoji120]
Ubarikiwe, tuendelee kushirikiana, Tanzania yetu inawezekana kuwa njema zaidi kwa maendeleo na ustawi wa jamii. Na wema huo, tutaufanya kwa mikono yetu ya ushirikiano.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, usingetaja wadhifa wake wa udiwani, kufanya hivyo kutamfanya achukue tahadhari ili kuficha ukweli.

Lakini umefanya vyema kuonesha kukerwa na uovu unaotendeka. Mh. Waziri kaweka mawasiliano yake humu. Mpigie simu au umtumie sms. Huyu mama yuko serious sana na kazi yake. Naamini ukimpa maelezo yanayojitosheleza, atachukua hatua haraka sana. Huwa haachi zege lilale.
Niko pamoja nanyi, karibuni. Sms nitumieni. Mm ni muumini kuwa katika watu mbalimbali Mungu kaweka karama mbalimbali, lazima tufungue milango tuzivune. Na tusiwe wajuvi wa Kila neno kisa madaraka. Tutaenda kinyume na fomula ya ki Mungu.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama una msaidia dr, ungekuwa unamsaidia ungeshafanye press release juu ya hili, mwache dr ajipambanie, dr tutakuunga kwenye group la friends of samia tunaona kazi za mawaziri wa madini viwanda afya wewe hatukusikii
Yaani nimeungwa na magroup mengi zaidi ya 200 Hadi simu screen ikawa haisogei ime jum. Mm kazi zangu pia unaweza ziona website ya wizara na Instagram yangu, fB, Twitter, thread, TikTok na Sasa nitakazana na humu JF. Ukinitumia sms nitakupa namba tafadhali uniunge.

Press itatoka, huko ofisini wanaandaa. Mm Niko safari naingia kesho, wakichelewa nitatoa mwenyewe, nivumilieni tafadhali tutaenda tu safari yetu ya salama.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Unafanya kazi nzuri Mh Waziri hata kuona jambo kwenye social media ukalitilia maanani inaonesha ni namna gani unajali.
Tuombeane, tushirikiane, hii wizara inataka uishi na jamii hakuna namna. Mambo mengi Sana na yote sensitive, ukiacha tu speed yetu ya kufikia jamii tuelimishane itapungua. Wenzangu wataalamu wanafanya na mm siko nyuma ninaloweza nafanya.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Tuliosomea Pyongyang tumekuelewa vizuri sana. Kifupi umesema huyo bi Dada kakurupuka na kakosea kuingilia kazi za watu. Asante Dr Gwaji girl.
Kwa kweli itifaki aliyotumia kakosea. Huwa tunashirikiana na jamij ila tunawapa mafunzo na miiko ya jambo wanalotaka kufanya. Hivyo mtu akiguswa kufanya jambo kwenye sekta yetu ya makundi maalumu, aje tutamjenga kwa kadri yake walau first aid kama sekta zingine tu.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Hizi huduma hazitolewi kwa staili hii. Ngoja wataalamu wa huduma hizi waandae kipindi halafu ufuatilie utajua. Vipindi lakini vinatolewa ila watanzania ni wengi nadhani wengine hamsikii kwa wakati

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Dk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.
70% ya hizo pesa anachukua yeye kiasi kidogo ndio atamtibia huyo mgonjwa hilo nalo ukaliangalie
 
Naona umeruka na mimi mazima.....
Ulijua nitakuja hapa ukawa unanisubiri?
Rudia kusoma afu uone nani kaja na sababu za "kitoto".
Jina lako limenifanywa nishindwe kujua jinsia yako, nta assume ni Ke.

1. Ushamuona mtu haeleweki why umbebee mimba? Thought mimba itambadilisha?
2.Ukimwambia mtoto " babako ni mshenzi , hakuhudumii" itamsaidia nini?
Out of all solutions umeona Condom tu? Kama issue ni Condom vaeni hata za kike si zipo.
Nnachokataa mimi ni kuwa haisaidii chochote kulaumu Jinsia moja kwenye swala la watoto wanaolelewa na mama pekee.
Na mtazamo ukiendelea kukaa hivyo, kuwa wanaume ndio chanzo.
Basi tuendelee kukaa na hili tatizo mpaka mwisho wa dunia......
Ila tukiamua kuliadress linaweza kuwa solved.
Mkuu umemaliza yote sio kila lawama apewe mwanaume,mana kwenye kuzagamuana swala la mimba huwepo..mwanamke ajikinge na mwanaume nae ajikinge,shida wadada hawataki condom wengi wao
 
Hakafu unaweza kukuta lenyewe nimeshindwa kwenye ndoa ya lenyewe ni li Singo maza! Linakuja kuwajaza watoto wa watu ujinga! Ona linavyowapapasa mgongoni kuonesha eti limawahurumuia, pumbavu kabisa! Mwisho wa siku litasababisha hao watoto wabatizwe majina huko shuleni!
Mwanaume wa kuishi na huyo lilian lazima uwe type ya mchungaji,mana anaonekana ni subwofer ya kuchina
 
Hawa wanaharakati uchwara ni wa kupigwa marufuku. Hawa ndo namba moja wa kuharibu maadili na kuchochea chuki. Feminists ni janga kubwa duniani kwa sasa.
I really agree . Hawa watu wanatengeneza feminism of highest level kwa kujifanya wanawahurumia Watoto wa kike
 
Dhamira yake ilikuwa njema ispokuwa si afya kuwaanika watoto mtandaoni tena mbele ya wenzao ..hapo hajengi kisaikolojia anazidisha chuki baina ya watoto na baba zao..kama hahudumii hata ukiishi nae anaweza asijisumbue kwa chochote watu tunaexperience hizo si kwamba hana uwezo, anao illa tu hajaamua. Mpaka anapata wajukuu si Hoby yake kuhudumi
 
Mkuu, sisi tumeumbwa kuwaongoza wanawake, sisi wanaume ni viongozi wao. Mwanaume ni mtatuzi wa changamoto zote.

Huwezi kumuacha mtoto wako apate shida kwasababu ya visirani na tabia mbaya za mwanamke uliyezaa nae. Unaweza kukaa mbali na mwanamke uliyezaa nae ila hutakiwi kukaa mbali na mtoto wako, damu yako. Wapo wanaume wameenda hadi mahakamani ili wapate fursa ya kulea watoto wao pale ambapo mwanamke ameanza kuleta visirani.

Ukitafuta sababu za kutelekeza mtoto au kutotimiza wajibu wako kama mzazi hautozikosa mkuu. Lakini zote hazitokuwa na mashiko hata kidogo.
Hivi wewe unafikiri ukiumbwa mwanamme basi ndio kila mwanamke alietoka ubavuni mwako ndio utakuwa unamuongoza tu ?

Kwani huyo mwanamke aliyeumbwa aliambiwa awe na kisirani na tabia mbaya kwa mwanaume zaidi ya kumtii mwanaume.

Wewe unaonekana unajua sana ya ndani kwako ila sio yanayokuzunguka, wewe unafikiri wazazi wote wa kike uwa wanawaambia ukweli watoto wao zaidi ya kuwalisha sumu na je unajua nguvu ya Mama katika kushawishi mtoto wake ? Na inawezekana hao watoto wengine wazazi wao wametengana tokea watoto wapo bado wadogo, baba anapeleka msaada kwa ajili ya mtoto mama anatupa na kukataa msaada kutokana na kisirani na tabia mbaya ambayo umeitaja (Sina shida na msaada wako sishindwi kumlea mtoto wangu koma kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mamayako, Usije ukasababisha nikaachika kwa mume wangu wa sasa kwanza huyu mtoto umkome sio wako nilikulambisha tu asali)

Ndugu sasa unataka kulazimisha matunzo mpaka mahakamani wakati mahakama yenyewe isharidhika kuwa mama yeye gangwe na anaweza kumudu kumlea mtoto.

Hakuna sababu zisizokuwa na mashiko ndio maana welevu wa jamii wameshaliona hilo.
 
Mchungaji yeye...mwanaharakati yeye...motivationa speaker yeye..maombi ya usiku usiku wa manane yeye...mtangazaji yeye ..famisist yeye.. mwisho wa siku anaharibu kwa kutumia nguvu nyingi anaharibu sasa anaingilia taaluma za watu na domo lake
 
FaizaFoxy, Habari za asubuhi FaizaFoxy. Utanisamehe Sana kwa kuwa sijaja humu JF kukubaliana na kila jambo ambalo litakupendeza wewe.

Kwa upeo wangu huu huu, katika hili, diagnosis yangu ni kuwa, huyu Lilian Mwasha amekosea hiki alichofanya, hakifai. Na kwa upeo wangu huu huu sijalala hadi nikampata na kumwambia hapa umekosea na aondoe hizo video mitandao yake yote.

Na kwa huu upeo wangu, nimemwagiza kamishna wa ustawi amwite kwa hatua zaidi na kufika kwenye hiyo shule waliko hao waalimu na watoto kwa hatua zaidi na tamko litolewe la marufuku kuhusu Kila mtu kuingia kwa watoto na kutoa huduma aina hizi na zingine.

Na pia hatua zingine zaidi zichukuliwe kwa mujibu wa taratibu za ustawi. Haya, na wewe Sasa kwa kuwa unao upeo mkubwa kabisa, ongezea tufanye nini zaidi.

Ila acha chuki binafsi Ili twende sawa. Nakubariki, ubarikiwe [emoji1666][emoji120][emoji2969]
Hongera kwa Busara zako
 
Mheshimiwa Waziri, nashauri watu kama hawa muwe mnawapa semina, ili wafanye kwa usahihi.

Pili, mheshimiwa Waziri natamani ungetembelea kituo cha watototo flani...nisikitaje jina au utume wataalam wako.

Kuna mtu amewajaza kituoni, anapewa misaada ya waziwazi na wazungu na raia pia lakini jioni yake anapeleka kuuza vyakula kwa maduka makubwa na watoti wana hali mbaya sana.

Nitawasilishaje hili kwako?

Mtaani kwetu kila mtu analaani
Sasa hili si umtumie details zote DM
 
Dk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.
70% ya hizo pesa anachukua yeye kiasi kidogo ndio atamtibia huyo mgonjwa hilo nalo ukaliangalie
Nitumie sms 0765345777 nipe tip za hawa wahujumu watoto tafadhali uone kazi, ahsante Sana

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Dk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.
70% ya hizo pesa anachukua yeye kiasi kidogo ndio atamtibia huyo mgonjwa hilo nalo ukaliangalie
Umemtaja Joyce Kiria, huyu inabidi naye tumfanyie kazi maana naye huwa anakwenda nje ya maadili. Najuwa kisingizio chake ni kwamba yeye alikuwa Beki 3. Kuwa kwake Beki 3 isowe kisingizio cha kukiuka maadili ya Kitanzania
 
Back
Top Bottom