Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Barikiwa[emoji1431][emoji1666]Ndiyo hivyo Dr, penye wengi pana mengi. Lakini tunaiona nia yako njema ! Keep it up Dr!
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwa[emoji1431][emoji1666]Ndiyo hivyo Dr, penye wengi pana mengi. Lakini tunaiona nia yako njema ! Keep it up Dr!
Ubarikiwe, tuendelee kushirikiana, Tanzania yetu inawezekana kuwa njema zaidi kwa maendeleo na ustawi wa jamii. Na wema huo, tutaufanya kwa mikono yetu ya ushirikiano.Ckuwahi fikiri kama muheshimiwa waziri ungeweza kureply hizi text na kusikiliza maoni mbalimbali ya wadau wa jamii forum.
Hakika hii n kaz nzuri iliyotukuka. Ila Lai yangu kwa wanajamii forum wenzangu baada ya kuona tatzo limetokea tusiwe watu wa mbele kulaani na kutukana bali kupitia Hilo tatzo hakika iwe n changamoto na fursa ya kutoa mawazo yetu na kushauri nn kifanyike na wapi tunakosea ilimradi kesho hyo kitu isijirudie.
Na hii ndo solution ambayo inaweza tufikisha mbali zaidi.[emoji120]
Niko pamoja nanyi, karibuni. Sms nitumieni. Mm ni muumini kuwa katika watu mbalimbali Mungu kaweka karama mbalimbali, lazima tufungue milango tuzivune. Na tusiwe wajuvi wa Kila neno kisa madaraka. Tutaenda kinyume na fomula ya ki Mungu.Mkuu, usingetaja wadhifa wake wa udiwani, kufanya hivyo kutamfanya achukue tahadhari ili kuficha ukweli.
Lakini umefanya vyema kuonesha kukerwa na uovu unaotendeka. Mh. Waziri kaweka mawasiliano yake humu. Mpigie simu au umtumie sms. Huyu mama yuko serious sana na kazi yake. Naamini ukimpa maelezo yanayojitosheleza, atachukua hatua haraka sana. Huwa haachi zege lilale.
AminaDr, tafadhali usiupoteze muda wako kuwajibu watu wanaotaka kukutoa kwenye reli. Kama ni muhimu kuwajibu watu wa aina hiyo, utuachie sisi, tutawajibu kwa kadiri tutakavyoona inafaa. Vinginevyo, ni kuwapuuzia tu.
Wewe shughuli na yale ya msingi[emoji120]
Yaani nimeungwa na magroup mengi zaidi ya 200 Hadi simu screen ikawa haisogei ime jum. Mm kazi zangu pia unaweza ziona website ya wizara na Instagram yangu, fB, Twitter, thread, TikTok na Sasa nitakazana na humu JF. Ukinitumia sms nitakupa namba tafadhali uniunge.Sidhani kama una msaidia dr, ungekuwa unamsaidia ungeshafanye press release juu ya hili, mwache dr ajipambanie, dr tutakuunga kwenye group la friends of samia tunaona kazi za mawaziri wa madini viwanda afya wewe hatukusikii
Tuombeane, tushirikiane, hii wizara inataka uishi na jamii hakuna namna. Mambo mengi Sana na yote sensitive, ukiacha tu speed yetu ya kufikia jamii tuelimishane itapungua. Wenzangu wataalamu wanafanya na mm siko nyuma ninaloweza nafanya.Unafanya kazi nzuri Mh Waziri hata kuona jambo kwenye social media ukalitilia maanani inaonesha ni namna gani unajali.
Kwa kweli itifaki aliyotumia kakosea. Huwa tunashirikiana na jamij ila tunawapa mafunzo na miiko ya jambo wanalotaka kufanya. Hivyo mtu akiguswa kufanya jambo kwenye sekta yetu ya makundi maalumu, aje tutamjenga kwa kadri yake walau first aid kama sekta zingine tu.Tuliosomea Pyongyang tumekuelewa vizuri sana. Kifupi umesema huyo bi Dada kakurupuka na kakosea kuingilia kazi za watu. Asante Dr Gwaji girl.
Dk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.Hizi huduma hazitolewi kwa staili hii. Ngoja wataalamu wa huduma hizi waandae kipindi halafu ufuatilie utajua. Vipindi lakini vinatolewa ila watanzania ni wengi nadhani wengine hamsikii kwa wakati
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mkuu umemaliza yote sio kila lawama apewe mwanaume,mana kwenye kuzagamuana swala la mimba huwepo..mwanamke ajikinge na mwanaume nae ajikinge,shida wadada hawataki condom wengi waoNaona umeruka na mimi mazima.....
Ulijua nitakuja hapa ukawa unanisubiri?
Rudia kusoma afu uone nani kaja na sababu za "kitoto".
Jina lako limenifanywa nishindwe kujua jinsia yako, nta assume ni Ke.
1. Ushamuona mtu haeleweki why umbebee mimba? Thought mimba itambadilisha?
2.Ukimwambia mtoto " babako ni mshenzi , hakuhudumii" itamsaidia nini?
Out of all solutions umeona Condom tu? Kama issue ni Condom vaeni hata za kike si zipo.
Nnachokataa mimi ni kuwa haisaidii chochote kulaumu Jinsia moja kwenye swala la watoto wanaolelewa na mama pekee.
Na mtazamo ukiendelea kukaa hivyo, kuwa wanaume ndio chanzo.
Basi tuendelee kukaa na hili tatizo mpaka mwisho wa dunia......
Ila tukiamua kuliadress linaweza kuwa solved.
Mwanaume wa kuishi na huyo lilian lazima uwe type ya mchungaji,mana anaonekana ni subwofer ya kuchinaHakafu unaweza kukuta lenyewe nimeshindwa kwenye ndoa ya lenyewe ni li Singo maza! Linakuja kuwajaza watoto wa watu ujinga! Ona linavyowapapasa mgongoni kuonesha eti limawahurumuia, pumbavu kabisa! Mwisho wa siku litasababisha hao watoto wabatizwe majina huko shuleni!
I really agree . Hawa watu wanatengeneza feminism of highest level kwa kujifanya wanawahurumia Watoto wa kikeHawa wanaharakati uchwara ni wa kupigwa marufuku. Hawa ndo namba moja wa kuharibu maadili na kuchochea chuki. Feminists ni janga kubwa duniani kwa sasa.
Sahihi, mwenye uzoefu wa kazi kwa miaka mitatu kwenye shirika mojawapo la kimataifa kabla sijapata wito mwingine.Bila shaka wewe ni Muamala Jamii!
Hivi wewe unafikiri ukiumbwa mwanamme basi ndio kila mwanamke alietoka ubavuni mwako ndio utakuwa unamuongoza tu ?Mkuu, sisi tumeumbwa kuwaongoza wanawake, sisi wanaume ni viongozi wao. Mwanaume ni mtatuzi wa changamoto zote.
Huwezi kumuacha mtoto wako apate shida kwasababu ya visirani na tabia mbaya za mwanamke uliyezaa nae. Unaweza kukaa mbali na mwanamke uliyezaa nae ila hutakiwi kukaa mbali na mtoto wako, damu yako. Wapo wanaume wameenda hadi mahakamani ili wapate fursa ya kulea watoto wao pale ambapo mwanamke ameanza kuleta visirani.
Ukitafuta sababu za kutelekeza mtoto au kutotimiza wajibu wako kama mzazi hautozikosa mkuu. Lakini zote hazitokuwa na mashiko hata kidogo.
Hongera kwa Busara zakoFaizaFoxy, Habari za asubuhi FaizaFoxy. Utanisamehe Sana kwa kuwa sijaja humu JF kukubaliana na kila jambo ambalo litakupendeza wewe.
Kwa upeo wangu huu huu, katika hili, diagnosis yangu ni kuwa, huyu Lilian Mwasha amekosea hiki alichofanya, hakifai. Na kwa upeo wangu huu huu sijalala hadi nikampata na kumwambia hapa umekosea na aondoe hizo video mitandao yake yote.
Na kwa huu upeo wangu, nimemwagiza kamishna wa ustawi amwite kwa hatua zaidi na kufika kwenye hiyo shule waliko hao waalimu na watoto kwa hatua zaidi na tamko litolewe la marufuku kuhusu Kila mtu kuingia kwa watoto na kutoa huduma aina hizi na zingine.
Na pia hatua zingine zaidi zichukuliwe kwa mujibu wa taratibu za ustawi. Haya, na wewe Sasa kwa kuwa unao upeo mkubwa kabisa, ongezea tufanye nini zaidi.
Ila acha chuki binafsi Ili twende sawa. Nakubariki, ubarikiwe [emoji1666][emoji120][emoji2969]
Sasa hili si umtumie details zote DMMheshimiwa Waziri, nashauri watu kama hawa muwe mnawapa semina, ili wafanye kwa usahihi.
Pili, mheshimiwa Waziri natamani ungetembelea kituo cha watototo flani...nisikitaje jina au utume wataalam wako.
Kuna mtu amewajaza kituoni, anapewa misaada ya waziwazi na wazungu na raia pia lakini jioni yake anapeleka kuuza vyakula kwa maduka makubwa na watoti wana hali mbaya sana.
Nitawasilishaje hili kwako?
Mtaani kwetu kila mtu analaani
Tulishamalizana, asante kwa kujaliSasa hili si umtumie details zote DM
Nitumie sms 0765345777 nipe tip za hawa wahujumu watoto tafadhali uone kazi, ahsante SanaDk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.
70% ya hizo pesa anachukua yeye kiasi kidogo ndio atamtibia huyo mgonjwa hilo nalo ukaliangalie
Umemtaja Joyce Kiria, huyu inabidi naye tumfanyie kazi maana naye huwa anakwenda nje ya maadili. Najuwa kisingizio chake ni kwamba yeye alikuwa Beki 3. Kuwa kwake Beki 3 isowe kisingizio cha kukiuka maadili ya KitanzaniaDk wako wengi wanaendesha harakati zao ili kujikimu kisa njaa zao,kuna huyo joyce kiria nae huwa anaropoka tu...pia kuna wengine wameanzisha taasisi za kusaidia wenye shida ila ndio kutwa kuchangisha pesa na kutumia wao.
70% ya hizo pesa anachukua yeye kiasi kidogo ndio atamtibia huyo mgonjwa hilo nalo ukaliangalie