Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
Mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani Gwajima Jumapili ataongea tena? Unafikiri hajipendi?Dr.Gwajima (Kibwetere wa Kawe) VS Dr. Gwajima (msanii wa Dom).
Muamuzi ni dk. 90.
Jumapili patachimbika.
time will tell WHO was right & WHO was wrong!, let's watch !!![emoji44]
Ila tu mjue Gwajima ana'watu'.Hana huo uwezo wa kujibu hiyo jumapili. Chama na serikali vimemuweka Kwenye nyuzi 90. Ajaribu aone
ChidiboyGwajima yupi sasa?
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Na amejiapiza kuwa kamwe hatarudi nyuma na yeye ndiye kinywa cha Mungu amekabidhiwa kazi ya kuifukuza Corona Tanzania.Lazima atajibu. Jamaa kashapata wafuasi wa kutosha mitandaoni.
Atapiga kuanzia Mwenyekiti, Lusekelo mzee wa Upako, Shaka na shemeji yako.
Gwajiboy anasema yeye ndio mrithi wa JPM ndani ya CCM.
Swadaktaaa!!!!!Kwa hiyo Gwajima ameamua kumuita Gwajima kibwetere[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ni fake accountNimeona twiter kaomba radhi
Ha ha ha hapo upele umepata mkunaji. CCM watajuta kumfahamu.Na amejiapiza kuwa kamwe hatarudi nyuma na yeye ndiye kinywa cha Mungu amekabidhiwa kazi ya kuifukuza Corona Tanzania.
Dollars ni mbaya saa!Dr.Gwajima (Kibwetere wa Kawe) VS Dr. Gwajima (msanii wa Dom).
Muamuzi ni dk. 90.
Jumapili patachimbika.
Hao wote kwake wanapiga saluti, Gwajima ana'watu' nyie siyo mchezoAkitukana waliochanja maana yake atakuwa amemtukana Rais, jaji mkuu, waziri mkuu, mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi, mkuu wa tiss, mkuu wake wa mkoa na wilaya, mkiti na msemaji wa chama chake, mkuu wa uhamiaji na magereza, viongozi wote wa dini kubwa tz! Ni mtu smart vya kutosha, j2 ataufyata
Mzee wa uno mbili chaliiiKibwetere ni mkono wa baunsa.
Mbona comment zako ni kama vile una chuki na Pascal Mayalla ?Pascal anazidi kupotea, anahitaji msaada sijui nini mbaya, hao ni wanasiasa wakikutana nyumbani wanacheka maisha yanaendelea
Kweli kabisa mkuu.Hii nchi kila mtu anaweza drama..
Huhitaji kufatilia series yeyote
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P