#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

Yaan huyo takataka msariti anataka ashindane na gwajiboy?? Jamaa aliwashinda wakina Makonda na kumuumbua diamond platnum mbele ya kadamnasi sasa huyu msukuma mvaa hirizi anataka kushindana na ile namba ya kawe?? Hee labda gwajiboy aamue tu kupotezea, lkn kwa ninavomjua huyu jamaa akiamua kulivalia njuga suala na pale anapoaibishwa huamusha dudee na huliamusha kwel kweli mpka nchi inamsikia yeye tu....tumpe muda huyo doroth msariti na mpiga mapambio ya uviko, lkn ajue kuwa yeye si mjanja....Tz nchi ya demokrasia hivo bas maoni ya kila mtu yaheshimiwe maana jamaa ushaur wake n mzur tena mzur maana unalinda maisha ya watu, kwa akil.za wafuas wa uvccm +bavicha lazma wampige vita, maana hawa wanaongozwa na upepo wa viongoz wao wanataka nini, ukwel mchungu gwajiboy he is right[emoji41][emoji41][emoji41][emoji106]
 
time will tell WHO was right & WHO was wrong!, let's watch !!![emoji44]

..Askofu Gwajima amesema Waziri yeyote atakaye shadidia chanjo atakufa.

..Binafsi nasubiri kuona kama Waziri wa Afya atakufa kama alivyotabiri Askofu Gwajima.
 
I see dunia inakwenda kwa kasi sana! Huyu huyu Dr. Dorothy niliyewaza tumpe urais ndio kinyonga hivi!? Na naibu wake wanasema chanjo imeshafungwa kwa 2bil + na haijaonesha madhara! Kweli! Haoni kuwa ni mapema sana kuyasemea hayo! Yakivumburuka mambo hapa wakati raia wameshapata jab sijui watapeleka wapi sura na vichwa vyao i see! GMOs!
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P
 
Lazima atajibu. Jamaa kashapata wafuasi wa kutosha mitandaoni.
Atapiga kuanzia Mwenyekiti, Lusekelo mzee wa Upako, Shaka na shemeji yako.

Gwajiboy anasema yeye ndio mrithi wa JPM ndani ya CCM.
Na amejiapiza kuwa kamwe hatarudi nyuma na yeye ndiye kinywa cha Mungu amekabidhiwa kazi ya kuifukuza Corona Tanzania.
 
Akitukana waliochanja maana yake atakuwa amemtukana Rais, jaji mkuu, waziri mkuu, mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi, mkuu wa tiss, mkuu wake wa mkoa na wilaya, mkiti na msemaji wa chama chake, mkuu wa uhamiaji na magereza, viongozi wote wa dini kubwa tz! Ni mtu smart vya kutosha, j2 ataufyata
Hao wote kwake wanapiga saluti, Gwajima ana'watu' nyie siyo mchezo
 
Daaaaaaaah yan ushoka wa uyu mama umeupima kwa kumuita mtu kibwetere........ ivoo tu akawa shoka??

Back
Top Bottom