#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

Sio kazi ya asiechanja kumlinda ambae amechanja, ni kazi ya chanjo kumlinda ambae amechanja...
Ni kweli, kuna wakati ni vema kuishi kwenye msimamo wako kama alivyofanya Magufuli. Yeye alisema, kufa tutakufa tu, hata mimi nitakufa. Naweza kufa kwa corona au kitu kingine. Alilisimamia hiyo, na kweli alikufa kwa cor9na kama alivyonena.
 
Huyu shemeji yetu tuliingizwa Chaka kabisa sijui Maza hasikii siku hizi vijana wake wanajisemea tu .. matumizi mabaya ya madaraka naye amfungulie mashtaka
 
Hivi kwanza anategemea kwenda jimbo gani 2025 manake naona yamejaa na hakuna wapinzani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Waziri anatakiwa kuwa mtu makini siyo mtu wa kuropokaropoka tu, chanjo ni hiari yeye analazimisha.
Corona yenyewe wanaijua yeye na Hangaya tu.
Watavaa Sana mibarakoa mpaka midomo iwe miekundu Kama kanoni ka jiji.
 
Duuh! Mbona rais alisema kuwa NI HIARI? Viongozi hawana haki ya kutumia hiyo hiari?

Huyu waziri akiambiwa kuwa kauli yake ni NONSENSE atalalamika?
Nchi nyingi sasa ni lazima mambo ya kubembelezana yanaisha
 
yeye mbona alipinga mpango wa bima ya afya na hakuachia ngazi .huyu mama ana mapepo anatakiwa kuombewa.
 
kwa sheria ipi? waziri unafikiri bado tupo zama za mwendazake mlivyotufukisha na kubugia mimoshi ati dawa ya corona.
 
Naunga mkono hoja, hiki alichokisema Waziri Gwajima, ni kitu cha kweli, kama serikali yako imekubali chanjo na rais wako kachanja, wewe kiongozi wa umma, lazima uonyeshe uongozi kwa vitendo na kwa mfano, kwa viongozi wote wakuu wa umma lazima wachanje hadharani, ule uhiari, hauwahusu viongozi wa umma, kwa viongozi wa umma kuchanja ni lazima, asiyechanja aachie ngazi!.

Niliwahi kusema mahali, chanjo ya Korona japo inasemwa kuwa ni hiyari, hii ni hiyari ya lazima, kuna nchi mtu huruhusiwi kuingia bila cheti cha chanjo ya Corona. Hivyo sasa tunaanza mdogo mdogo kwa viongozi wa umma, chanjo sio hiyari ni lazima,
kama wewe ni kiongozi wa umma na huamini chanjo, achia ngazi!.
P.
P
 
Hakuna sheria yoyote ya utumishi inasema hivyo!! Wewe nasikia ni Mwanasheria umesomea sheria gani mkuu?
 
Kumbe waziri wa afya ndio muajiri sikuhizi!
 
Madaraka mwana malevya na dharau kubwa sana kwa watanzania. Huyu anachokiongea sio yeye ametumwa na viongozi wake wakubwa atamke hivyo. Hiari na ulazima unatokea wapi?

Anguko la serikali liko karibu sana kutokea muda sio mrefu kwa Mungu hataniwi.
 
Huyu waziri ameanza tena. Huyu naye anayembeba aonage aibu. Kila siku yeye tu kuleta sintofahamu. Kwani wameshachanja wangapi mpaka sasa
Hahahaha
 
Hahahaha
 
Madaraka mwana malevya na dharau kubwa sana kwa watanzania. Huyu anachokiongea sio yeye ametumwa na viongozi wake wakubwa atamke hivyo. Hiari na ulazima unatokea wapi?

Anguko la serikali liko karibu sana kutokea muda sio mrefu kwa Mungu hataniwi.
Huyu kweli katumwa, ukimwona kobe juu ya mti kapandishwa huyooo......
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mama hajiamini ..siyo kauli ya kutolewa msomi Kama huyu ...anastahili kupisha uchunguzi dhidi ya matamshi dhidi yake. Ila Hakuna mtu ambaye alishapambana na Mch Josephath Gwajima akabaki salama
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajawahi kuwa na akili za kujitegemea
 
Maralia imemshinda
TB imemshinda
Huduma bora za afya kila kona zimemshinda
Kushupalia chanjo ndiyo anaona ni wajibu wake kuliko mengine
 
hivi hawa wapuuzi anayewachaguaga kua viongozi ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…