Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Unamdanganya Jaffo kwa makusudi
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Mama Samia sawa, ila Majaliwa sishauri..

Pia bado ni mapema mno, anything can happen. 2025 tutashangaa Mwenyekiti akajikuta hana nguvu yeyote ya kuzima makundi ndani ya Chama kama ilivyomtokea JK 2015.

Hawa walioko nje akina Makamba, Nape et al; tusiwapuuze kabisa, hasa ikishakuwa confirmed kuwa JPM hataongeza muda. Asitarajie utii wanaomwonesha wataendelea nao throughout.
 
huenda ndio lengo la posti hii. UCHONGANISHI!
 
Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Hili swala si Mara ya kwanza kuona ukiliweka humu jukwaani.Nasikitika kwakua hautakuwa shahidi wa hilo swala, sijajua kama kuna uwezekano wowote wa kulishuhudia huko utakako kuwa.
 
Mkuu Pascal Mayalla
Karibu huku utujalie maono yako yenye success rate ya zaidi ya 85.6%. Je, kwenye hii orodha yasemwayo ni kweli ama si kweli? Ima bado mapema Sana kupambanua ya 2025?

Karibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…