Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Mbona kama unaota mchana. Eti Jafo! Wow! We endelea kuota mchana mwanangu.
 
Kwa hio umeshawahi kumuona Magu akitoa kipaumbele kwny hayo mambo ya Gender kwny utawala wake sio?

Baraza lake la Mawaziri lenyewe wanawake ni 4 tu,ndio leo nafasi kama ya urais awafikirie wanawake?Haipo hio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."

Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.

Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
Kapewa na Mungu
 
Kicheko bado kipo? Kampa urais hajampa, all things considered?
 
Kifo cha JPM, imekula kwà Mnyeti mazima kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…