Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ongeza sauti hatusikii huku nyuma..."Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais."
Hahah wakati Magu mwenyewe alisema isingekua ni mambo ya Gender ningemchagua Mwinyi awe ndio makamu wangu wa Rais.
Sasa leo ndio aje kumpa urais huyo Mama? NEVER.
π€π€π€π€Hakutakuwa na raisi mwanamke....
hiyo habari ya kufikirika....
Naomba kuelekezwa lilipo kanisa lakoHapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
AmenMwakani kutakuwa na msiba mkubwa wa furaha
ππππππTz haitokuja kutokea kwa raisi mwanamke
Je hii sentensi bado iko valid?Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba
Nape
Mavunde
Masauni
Kigwangalla
Ndoto zao za kisiasa kuingia ikulu 2025 ndio basi tena
Pole nyingi pia kwa
Mnyeti
Kunambi
Gambo
Kimei
Niko Amazon kibaha hapa njoo tunywe biaVipi bosi hauna buku hapo?
Sio kwa utabiri huoHapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Utabiri?Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
How did you know,tena uli comment kwa uhakika kabisa.kuna jamaa humu naye alisema hivi hivi kuna uwezekano mkubwa kifo cha Magufuli kilipangwa tofauti na watu tunavyo dhania.Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Kweli aisee. Pasaka njema na kwako pia.Mambo yanaenda KASI SANA na muda ni mdogo. Tufanye siku iwe na saa 72 siku ya saa 48 haitutoshi tena πππ Pasaka njema.
Kuna manabii humu kwa kweli.We jamaa INA maana jiwe atarest in peace sio hahahahahaa
Sema tena π€£π€£π€£π€£.Tanzania haijafikia kiwango cha kuongozwa na mwanamke. Rais ajaye hawezi kujulikana mapema hivi
ndo maana napata kigugumizi kuamini magu kaenda na ugonjwa [emoji26]Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.
Mungu pekee ndiye mwenye uhakika na mipango apangayo(ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Mama Samia. Spot on!Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Unasemaje??!!Tz haitokuja kutokea kwa raisi mwanamke