Utafukuzaa wangapi sasa????🤣🤣🤣Mifumo mizuri ni kuwaondoa watumishi wote kazini waliohudika kusababisha migogoro ya ardhi Kwa RUSHWA,
Kulitimiza hili, anahitaji support ya mawaziri wenzie utumishi na Rais,
Lakini Hadi hapo, ni sawa kufanya ziara, lakini pia ni muhimu kuweka viongozi waadilifu watakaozuia dhuluma na kumsaidia kirahisi zaidi.
Ubarikiwe.
Mahakama za tanzania au mahakama gani????Wenye mamlaka ya kutatua malumbano na migogoro ya ardhi kati ya wahusika wawili ni Mahakama peke yake, sio waziri wa ardhi!
Ndio.Mahakama za tanzania au mahakama gani????
Niamendika Jerry, wewe umeandika Jelly.Nimecheka sana. Kumbe huko juu ulifanya maksudi kumwita "Jelly"?
Jelly, ni moja ya viumbe wenye ubongo mdogo sana kuliko viumbe wengine wote.
Mtàani jobless ni wengi kumbuka¡!!Utafukuzaa wangapi sasa????🤣🤣🤣
Hata Commissioner wa Aridhi anayo mamlaka ya kutatua mgogoro wa Aridhi iliyopimwa,maana yeye ndiyo mtowaji wa umiliki wa Aridhi, kwa mfano akigundua kua ulileta taarifa za uwongo ili akumilikishe kipande cha Aridhi, akijirizisha pasipo na shaka ana mamlaka ya kisheria kubatilisha umiliki wako! Sasa wwe tapeli ndiyo utakimbilia Mahakamani kushitaki, na hauta shinda ngoo!!Unataka kusema wizara ya ardhi ndio ina mamlaka ya kutatua kesi za ardhi?
Watu wakiona video za mambo kama hayo anayofanya Waziri wanapata tumaini kwamba na wao kero zao zinaweza kutatuliwa zikifika kwa waziri husika.Sina shida ya yeye kama anachapa kazi, ila hakuna haja ya kusaka "cheap popularity" mara afanye kazi mbele ya kamera, kazi zake njema zitajitangaza haina haja kutangaza tangaza
Mtu anadai haki yake mahakamani zaidi ya miaka 10 anazungushwa tu,anakuja waziri anamsaidia kupata haki yake WAPUMBAVU kama chiembe wanaanza kumtukana eti anatafuta kiki.Ivi tuteendelea kuwa wajinga na wapinga haki mpaka lin kwan wewe hujui mahakama zetu hazina haki kaka kumejaa rushwa na ukilitimba
Marinda huna, unatembea mzigo unamwagikaTaaluma ya kupigwa pipe
Waziri anampamba tu, akienda mahakamani wanafuta, waziri hana maamuzi ya mwisho kuhusu haki, endelea kukenua masaburi tuMtu anadai haki yake mahakamani zaidi ya miaka 10 anazungushwa tu,anakuja waziri anamsaidia kupata haki yake WAPUMBAVU kama chiembe wanaanza kumtukana eti anatafuta kiki.
Unajiuliza hawa watu wana akili kweli?
Angalia kichwa cha mada. Kinasomeka 'Jelly'.Niamendika Jerry, wewe umeandika Jelly.
Hapana, hawana; lakini chukulia haya aliyoshughulika nayo Silaa moja kwa moja, bila ya kutazama hizo taratibu za kimahakama.Unataka kusema wizara ya ardhi ndio ina mamlaka ya kutatua kesi za ardhi?
Vichwa vya panzi kama hiki hapa ndivyo vinavyokubalika sana katika awamu hii ya maigizo. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika upuuzi kama huu hapa jukwaani.Marinda huna, unatembea mzigo unamwagika
Waziri anampamba tu, akienda mahakamani wanafuta, waziri hana maamuzi ya mwisho kuhusu haki, endelea kukenua masaburi tu
kama mahakama hazitendi haki unataka waziri afanyejeWenye mamlaka ya kutatua malumbano na migogoro ya ardhi kati ya wahusika wawili ni Mahakama peke yake, sio waziri wa ardhi!
Wewe ssshoga na tapeli mkubwaMarinda huna, unatembea mzigo unamwagika
Waziri anampamba tu, akienda mahakamani wanafuta, waziri hana maamuzi ya mwisho kuhusu haki, endelea kukenua masaburi tu
tabu ni kuwa aina hii ya mawaziri huwa hawakawii kutumbuliwa kwa majungu na fitina.Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi alovyotatua case ya Tajiri aitwaye Mzee Mmassy aliyenunua nyumba Kwa marehemu aliyeko kaburini, yaani document zinaonyesha marehemu akiwa kaburini alisaini mauziano na kumuuzia nyumba tajiri Mmassy,na jinsi alivyotatua case Ile Kwa uwazi Kwa kutumia nyaraka halali katika ofisi ya ardhi, na jinsi alivyoweza kuwarudishia nyumba watoto na mke wa marehemu nyumba Yao, kiukweli Mungu aendelee kumjalia uhai na AFYA na baraka kiongozi huyu.
Nilifanikiwa pia kufuatilia jinsi alivyosaidia kutatua mgogoro ulioletwa na Msama, Kwa kutomtendea HAKI yake mama yule aliyedai kiwanja chake, pia nimeona ufuatiliaji, uthubutu na uchapakazi wa Waziri huyu kijana Jerry Slaa.
Ni maombi yangu, akae chini na viongozi wenzie katika wizara yake na kuja na mpango MIKAKATI wa kutatua migogoro ya ardhi Nchi nzima bila kuwepo haja ya kusafiri huku na huko, uwepo mfumo mzuri na WA haraka zaidi kuwafikia wananchi na kutatua migogoro hiyo ya ardhi.
So far, KAZI imeonekana inafanyika,
Mungu Mbariki Waziri huyu Jerry Slaa,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Ameeen.
Source: Milard Ayo tv.
Karibuni[emoji120]
Kukaa miaka mitano Kwa HOFU na unafiki, na kukaa miezi SITA unafanya kitu kinachoonekana kipi Bora?tabu ni kuwa aina hii ya mawaziri huwa hawakawii kutumbuliwa kwa majungu na fitina.
ukifanya kazi kama waziri Jery Slaa lazima utapigwa majungu na fitina, hivyo unatakiwa uwe umejitoa kwa lolote lile. usiwe muoga
Kujipambanua kwa namna hiyo ndiko kunakoitwa kuwa KIONGOZI.tabu ni kuwa aina hii ya mawaziri huwa hawakawii kutumbuliwa kwa majungu na fitina.
ukifanya kazi kama waziri Jery Slaa lazima utapigwa majungu na fitina, hivyo unatakiwa uwe umejitoa kwa lolote lile. usiwe muoga
Hakika; lakini pia tumia akili vizuri kujuwa upo kwenye mazingira yasiyokuwa rafiki.Nijuavyo, ukipewa Uwaziri, soma mamlaka na mipaka ya nafasi Yako Kisha fanya KAZI.