Achana na hilo tapeli/fisadi.Pole sana Kwa kupoteza nyumba, Fungua case court sasa udai HAKI Yako,
Naona unasoma maandiko yake, lakini bila shaka umeamua tu kumvumilia. Binafsi sina uvumilivu wa namna hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hilo tapeli/fisadi.Pole sana Kwa kupoteza nyumba, Fungua case court sasa udai HAKI Yako,
Mifumo haijengwi na waziri inajengwa na rais, waziri ni mtekelezaji tu. Kama waliopita hawakutilia maanani, unataka huyu alie teuliwa juzi afanye nini? Overnight kuwe na mifumo? Be seriousKiongozi anajenga mifumo, hakuna mfumo aliojenga mpaka sasa, angekuwa na mfumo, asingekuwa na haja ya kutembea mpaka vyumbani mwa watu.
and land justice, kama ilivyo haki yoyote ile, huwezi kuifanya kwa mfumo wa mob justice, unakusanya vijitu mtaani, unasikiliza unaamua, hakuna due process halali ya kisheria ambayo itafanya haki ionekane inatendeka. Kuna mahala atakutana na jambo, yeye binafsi atadhalilika, na serikali itadhalilika.
Hapa umempiga na kitu kizitoUnaweza kutuambia Waziri Rizwan KIKWETE alifanya nini kuhusu hizo sera Kwa muda wote alipokuwa ardhi?
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi alovyotatua case ya Tajiri aitwaye Mzee Mmassy aliyenunua nyumba Kwa marehemu aliyeko kaburini, yaani document zinaonyesha marehemu akiwa kaburini alisaini mauziano na kumuuzia nyumba tajiri Mmassy,na jinsi alivyotatua case Ile Kwa uwazi Kwa kutumia nyaraka halali katika ofisi ya ardhi, na jinsi alivyoweza kuwarudishia nyumba watoto na mke wa marehemu nyumba Yao, kiukweli Mungu aendelee kumjalia uhai na AFYA na baraka kiongozi huyu.
Nilifanikiwa pia kufuatilia jinsi alivyosaidia kutatua mgogoro ulioletwa na Msama, Kwa kutomtendea HAKI yake mama yule aliyedai kiwanja chake, pia nimeona ufuatiliaji, uthubutu na uchapakazi wa Waziri huyu kijana Jerry Slaa.
Ni maombi yangu, akae chini na viongozi wenzie katika wizara yake na kuja na mpango MIKAKATI wa kutatua migogoro ya ardhi Nchi nzima bila kuwepo haja ya kusafiri huku na huko, uwepo mfumo mzuri na WA haraka zaidi kuwafikia wananchi na kutatua migogoro hiyo ya ardhi.
So far, KAZI imeonekana inafanyika,
Mungu Mbariki Waziri huyu Jerry Slaa,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Ameeen.
Source: Milard Ayo tv.
Karibuni🙏
Kwanza nina njaaa🤣🤣🤣🤣Tajiri yule alipoambiwa atoe vitu vyake na kumkabidhi mhusika Mali yake,
Alisema kuwa Eti Hana pa kwenda na kumwambia waziri anaonaje wakiongozana Ili waongee kidogo pembeni,
Jambo Hilo liliamsha hasira ya Waziri na kuamuru vyombo viondoke naye.
Apite na majimbon kwake wananchi wanatesek sana kitunda kinyantila brabara hazipitiki akikaa sehem moja tu huk wizarani hawez kutatua chngamot za wananch wakeSalaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi alovyotatua case ya Tajiri aitwaye Mzee Mmassy aliyenunua nyumba Kwa marehemu aliyeko kaburini, yaani document zinaonyesha marehemu akiwa kaburini alisaini mauziano na kumuuzia nyumba tajiri Mmassy,na jinsi alivyotatua case Ile Kwa uwazi Kwa kutumia nyaraka halali katika ofisi ya ardhi, na jinsi alivyoweza kuwarudishia nyumba watoto na mke wa marehemu nyumba Yao, kiukweli Mungu aendelee kumjalia uhai na AFYA na baraka kiongozi huyu.
Nilifanikiwa pia kufuatilia jinsi alivyosaidia kutatua mgogoro ulioletwa na Msama, Kwa kutomtendea HAKI yake mama yule aliyedai kiwanja chake, pia nimeona ufuatiliaji, uthubutu na uchapakazi wa Waziri huyu kijana Jerry Slaa.
Ni maombi yangu, akae chini na viongozi wenzie katika wizara yake na kuja na mpango MIKAKATI wa kutatua migogoro ya ardhi Nchi nzima bila kuwepo haja ya kusafiri huku na huko, uwepo mfumo mzuri na WA haraka zaidi kuwafikia wananchi na kutatua migogoro hiyo ya ardhi.
So far, KAZI imeonekana inafanyika,
Mungu Mbariki Waziri huyu Jerry Slaa,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Ameeen.
Source: Milard Ayo tv.
Karibuni🙏
kumbuka wapika majungu na fitina ni watu wana nguvu kweli...wana uwezo wa kubadilisha jambo zuri na kuwa baya.Kukaa miaka mitano Kwa HOFU na unafiki, na kukaa miezi SITA unafanya kitu kinachoonekana kipi Bora?
Nijuavyo, ukipewa Uwaziri, soma mamlaka na mipaka ya nafasi Yako Kisha fanya KAZI.
Nakumbuka Magu alikuwa anafukuza KAZI wezi anapoingia tu wizarani, Anamwambia Rais KIKWETE, wafuatao siwataki wizarani, watafutie pa kwenda.
Huo ndio uwajibikaji.
Tena nasikia kumbe Mmasi ana kesi ya Jinai ya kugushi nyaraka za umiliki wa hiyo nyumba huko Mahakama ya Wilaya toka mwaka jana kesi iko Mahakamani!!Silaa hajichukulii maamuzi kesi ya Mmasy ilifika mpaka High Court Mmasy akawa ameshindwa ikaja execution order atoke kwenye nyumba tangu mwaka jana mwez wa 8 akagoma, Jerry Silaa akamuuliza Mmasy kuwa wewe na huyu nani mshindi ? Mmasy akasema huyo mwenzake.
Kwahyo wazir hapo hajachukua maamuz yake mkononi bali amesaidia execution order ya mahakama na ndio anachokifanya. Ila hasolve case Kwa kuingilia kazi ya mahakama.
Tapeli lilikua linatafuta upenyo wa kumtoa Waziri kwenye reli, eti lina njaa!![emoji23][emoji1787]Kwanza nina njaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu matapeli sana.
Waziri hawezi kuingilia kazi za mahakama.kama mahakama hazitendi haki unataka waziri afanyeje
Tanzania tumewapa wanasiasa mamlaka kubwa mno na ndio maana wanafanya watakavyo kwani wanajua wao wapo juu ya sheria na kwa bahati mbaya sana sisi wananchi tunawaunga mkono! Slaa hawezi kuwa mbadala wa mahakama hata rais hawezi kuwa mbadala wa mahakama kama ulivyoandika! Hamjui haki zenu na mtaendelea kudhulumiwa sana watanzania.Hapana, hawana; lakini chukulia haya aliyoshughulika nayo Silaa moja kwa moja, bila ya kutazama hizo taratibu za kimahakama.
Kuna njia nyingi za kumaliza baadhi ya migogoro bila kuhusisha mahakama, na sidhani kuwa anayofanya Silaa ni mbadala wa mahakama.
Hao walionyang'anywa, bado wanaweza kwenda mahakamani kudai mali, kama ni yao. Kama hawaendi, itakuwa na maana wao ndio walikuwa na makosa. Walikuwa wamepora mali kwa uonevu.
Silaa asilaumiwe kwa kushughulikia migogoro ya uonevu kama hii.
Wengi mnaokimbilia mahakama mnajuwa huko hakuna haki kama huna chochote mfukoni.
aha ndio mwamuzi wa mwisho wa mgogoro wowote hata makampuni huenda mahakamani kuishtaki serikali endapo inavunja mikataba pasipo utaratibu. Mgogoro wa ardhi baina ya pande mbili hutatuliwa mahakamani na sio wizarani!Hata Commissioner wa Aridhi anayo mamlaka ya kutatua mgogoro wa Aridhi iliyopimwa,maana yeye ndiyo mtowaji wa umiliki wa Aridhi, kwa mfano akigundua kua ulileta taarifa za uwongo ili akumilikishe kipande cha Aridhi, akijirizisha pasipo na shaka ana mamlaka ya kisheria kubatilisha umiliki wako! Sasa wwe tapeli ndiyo utakimbilia Mahakamani kushitaki, na hauta shinda ngoo!!
Kila mgogoro wa Aridhi una historia yake,sasa kabla ya kumlaumu Waziri ebu fanya kwanza utafiti wako,maana wengine hadi maamuzi ya Mahakama kuu kuhusu huo mgogoro tumeyasoma humu,na ndiyo maana tunaona Waziri yuko sahihi kabisa kulibalasa lile Tapeli kwenye Nyumba ya Marehemu!!M
aha ndio mwamuzi wa mwisho wa mgogoro wowote hata makampuni huenda mahakamani kuishtaki serikali endapo inavunja mikataba pasipo utaratibu. Mgogoro wa ardhi baina ya pande mbili hutatuliwa mahakamani na sio wizarani!
Waziri aliambatana na commissioner wa ardhi husika, Mmassy akaleta documents na mke wa marehemu akaleta documents.Kila mgogoro wa Aridhi una historia yake,sasa kabla ya kumlaumu Waziri ebu fanya kwanza utafiti wako,maana wengine hadi maamuzi ya Mahakama kuu kuhusu huo mgogoro tumeyasoma humu,na ndiyo maana tunaona Waziri yuko sahihi kabisa kulibalasa lile Tapeli kwenye Nyumba ya Marehemu!!
Hilo tapeli lilitaka likamnunulie chakula waziri hoteli kubwa Kisha limwandikie cheque kumzima.Kwanza nina njaaa🤣🤣🤣🤣
Kuna watu matapeli sana.
Tupambanie KATIBA mpya Ili waziri asitokane na wabunge.Apite na majimbon kwake wananchi wanatesek sana kitunda kinyantila brabara hazipitiki akikaa sehem moja tu huk wizarani hawez kutatua chngamot za wananch wake
Kongole kwakeSalaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi alovyotatua case ya Tajiri aitwaye Mzee Mmassy aliyenunua nyumba Kwa marehemu aliyeko kaburini, yaani document zinaonyesha marehemu akiwa kaburini alisaini mauziano na kumuuzia nyumba tajiri Mmassy,na jinsi alivyotatua case Ile Kwa uwazi Kwa kutumia nyaraka halali katika ofisi ya ardhi, na jinsi alivyoweza kuwarudishia nyumba watoto na mke wa marehemu nyumba Yao, kiukweli Mungu aendelee kumjalia uhai na AFYA na baraka kiongozi huyu.
Nilifanikiwa pia kufuatilia jinsi alivyosaidia kutatua mgogoro ulioletwa na Msama, Kwa kutomtendea HAKI yake mama yule aliyedai kiwanja chake, pia nimeona ufuatiliaji, uthubutu na uchapakazi wa Waziri huyu kijana Jerry Slaa.
Ni maombi yangu, akae chini na viongozi wenzie katika wizara yake na kuja na mpango MIKAKATI wa kutatua migogoro ya ardhi Nchi nzima bila kuwepo haja ya kusafiri huku na huko, uwepo mfumo mzuri na WA haraka zaidi kuwafikia wananchi na kutatua migogoro hiyo ya ardhi.
So far, KAZI imeonekana inafanyika,
Mungu Mbariki Waziri huyu Jerry Slaa,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Ameeen.
Source: Milard Ayo tv.
Karibuni🙏
Yaani commissioner wa ardhi waende site, wakute mtu amejenga kimabavu kwenye eneo la mwingine,Kongole kwake