Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Haki hawa watu wanatuona sisi ni matahira au wanaongea wasichokijua.
Unajua kuna mtu anaweza kukudanganya mpaka ukatafakari hivi jamaa ananichukuliaje
Mradi wa udart ilikuwa hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaa pumzi imekata mapema kila kitu kinafanyyika manual,mjazano ndy usiseme
Ila tunaitakia heri mradi huo wa sgr dua nyingi tunaipa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Sisi shida ni kutengeneza halafu likija suala la uendeshaji inakuwa ubabaushaji
 
Na ya kwanza kuiba kura Duniani
 
Na ya kwanza kushindwa kupata Watuhumiwa wa Lissu
 
Na ya kwanza kuwa na tume ya uchaguzi inayochaguliwa na rahisi ambaye ni mgombea
 
Na ya kwanza ukiwa chama pinzani unakua adui unastahili kuuwawa
 
Na ya kwanza kukataa chanjo yenye usibitisho kisayansi ila kutoa Ndege iende Madagascar kubeba maji taka
 
Lakini mwisho wa siku Tanzania siyo Nchi ya kwanza kuendesha hiyo treni ya umeme. Yaani Saddam Hussein alikuwa ni Rais wa Iraqi na siyo Kuwait!!

Umenipata mkuu?
Ni kweli sio nchi ya kwanza. Ila ni hatua ya kupigiwa makofi. After all, it is very painful now, but development comes with a cost
 
Basi asitudanganye kana kwamba hatujui kitu huyu chatoman

Huyo anajijua mwenyewe. Ila nafurahi kuona we are getting there. Ije siku iwezekane kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar au Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…