Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Nilisikia SA na Ethiopia kama tayari wanazo vile!
Kweli kabisa. Misri wanategemea kukamilisha yao ya mwendo kasi (high speed) kabla ya Oktoba mwaka huu. Hivi huwa hawafanyi research?

Amandla...
 
Nilisikia SA na Ethiopia kama tayari wanazo vile!
Tatizo la exposure la viongozi wetu. Train za umeme tayari zipo Africa. Ethiopia na South Africa kweli zipo. Zimbabwe walikuwa nazo zimekufa. Nchi za kaskazini, Algeria,Nigeria, Morroco na Tunisia zipo pia.
 
Hivi huyu Kalemani udaktari wake ni wa nini ?
Kalemani si ndio huyu alikuwa Mwanasheria wa ile Wakala wa Madini vipi na yeye ameshushiwa mshahara. Aache uongo hivi kwanini wanasiasa wengi wa Tz wanapenda kusema uongo?!
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ethiopia and Djibouti have launched the first fully electrified cross-border railway line in Africa. It links Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port of Djibouti - a stretch of more than 750km (466 miles).Oct 5, 2016
 
Electrification, one of the most capital-intensive projects, was also completed in this period. October 1924 saw the first electric test train running between Ladysmith and Chieveley in Natal(SOUTH AFRICA)
 
Hivi hawa watu uwa wanatuona sisi ni matahira au?
Ethiopia na Djbouti zimejenga mfumo wa train za umeme toka 2016 unafanya kazi
johnthebaptist anahujumu ccm kinyama sana , ila hawajamstukia , siku wakistuka ni lazima atekwe
 
S. Africa, Ethiopia & Morocco muda mrefu wana electrified trains. Kalemani, he seems very primitive katika mambo, hata hili la train ya umeme hajui anachosema.
 
kinachoshangaza mtu huyo amesoma na ana exposure ila maneno anayoyatoa sasa unashindwa kumuelewa anatafuta nini katika dunia ya utandawazi. Very dissappointing
 
Huyu ni mpuuzi. Aende akaangalie treni ya Ethiopia to Djibout, halafu atuambie kama inaendeshwa kwa maziwa ya ng'ombe.

Sijui kwa nini awamu hii viongozi wamekuwa wakurupukaji na waropokaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wa taarifa yenyewe kasema train ya kwanza yenye kutunza umeme "electric saver" jinga moja limewapotoshea taarifa wote mnajua king kifala with link reference.
 
Back
Top Bottom