Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
We kenge km nani,Kwa nini msingetumia njia hizo za mtandao kumfikia mfano zoom, MS Teams... na kuhusu hilo la kupimwa, huwezi kumuamrisha mtu apimwe, ni uvunjivu wa haki za mtu anayehusika... acheni kumsumbua...
Vipi unataka akupigeeeeeeee mitiiiiiiiiiiiiii.Dudu baya ameoa?
Amewekwa ndani kwa kosa gani?Dudu baya kasha ripoti yeye mwenyewe naona atatoka Jumatatu
Amekataa wito wa kwenda mambo ya ndani mara 2Sasa akamatwe kwa kosa gani
Ndivyo ilivyo...,waziri yake ni hayo ya kisera tu...,suala la kuchunguza matukio ya kihalifu ni ya polisi..,na kufikisha watuhumiwa mahakamni ni suala la mwendesha mshtaka wa serikali.Waziri angebaki na mambo ya kisera. Kama Kuna uchunguzi police ndo waite watu. Na kama case ipo hatua za awali sana sio lazima kuujulisha umma umeita watu
Waziri ana mamlaka ya kuita watu? Awaagize police wamuite.Amekataa wito wa kwenda mambo ya ndani mara 2
Exactly. Huwezi kuwa na waziri anaita watu hovyo hovyo. Hiyo ni kazi ya police.Ndivyo ilivyo...,waziri yake ni hayo ya kisera tu...,suala la kuchunguza matukio ya kihalifu ni ya polisi..,na kufikisha watuhumiwa mahakamni ni suala la mwendesha mshtaka wa serikali.
Tatizo letu wanazania ni kulewa madaraka na taasisi kutofanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mathalan,kwa swala hilo polisi walitakiwa kukataa kumkamata mtu kwa maagizo ya waziri kwa sababu katika hatua ya kumkamata mtu lazima polisi wamjulishe kosa lake. Sasa katika mazingira hayo polisi watamueleza nini anayatakiwa kukamatwa kama kosa lake wakati hata wao hawajui?
Hata wakuu wa wilaya wanatumia vibaya ile sheria ya kumuweka mtu ndani masaa 48. Kimsingi mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kuamuru mtu awekwe mahabusu.
kimsingi, ni polisi ndiyo wanaotka mtu fulani awekwe ndani kwa huo muda wakati wanaendelea na uchunguzi. Hatua zinawataka polisi kupeleka ombi na maelezo mahakamani kwa nini wanataka huyo mtu awekwe mahabusu masaa 48. Hakimu akiridhia maelezo ya polisi anapeleka ridhio lake kwa DC ambaye anatakiwa kuidhinisha ukamatwaji wa huyo mtu.
Kwa hiyo DC,hawezi kuidhinisha bila hakimu kuona msingi wa maelezo ya polisi. Na DC hana mamlaka kukurupuka tu kuwapa amri polisi wamakamate mtu fulani( pengine waligombea naye kimada )
Criminal mattersAmewekwa ndani kwa kosa gani?
Haya ni mambo ya kisheria,Criminal matters
We nesi waziri hana mamlaka ya kuita raia!Ukosoma comments za manyumbu ndo utaelewa ni kwa kiasi gani manyumbu hamnazo....wanashanikia ujinga ujinga tu.
Hasemaje, huyo dudubaya akamatwe na kama vipi apelekwe kwa wahuni kama wahuni katika gerezani flani Ili ikiwezekana wampigilie mbali miti. Na hako kaafande sele kaonywe.......trend za manyumbu hazina mpango wowote, ameshakuwa mtu mzima aache usichana!!
Dudu baya ni shujaaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.
Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema Dudubaya alikuwa ametakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kutajwa katika tuhuma za makosa ya jinai, lakini licha ya kuitwa kwa mara ya pili, bado hakufika.
Soma Pia: Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station
Waziri amesema Dudubaya ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitoa kauli ambayo Waziri ameielezea kuwa ni kukaidi wito wa Serikali.
Yuko sahihi kukataa wito huo kwa vile hauko kisheria. Waziri kalewa madarakaAmekataa wito wa kwenda mambo ya ndani mara 2
Wakimtoa kwenye ramani wataharibu..konki ana wafuasi. Yani wataamsha hasira za watu. Wangemwacha hivyohivyo, konki anahitaji msaada na sio adhabuJamaa wanaweza mtoa ktk ramani
Naona hizo sifa zitamponza muda sio mrefu