Makosa ambayo wenzake walisamehewa baada ya Ku show up na kuongea na WaziriHaya ni mambo ya kisheria,
Sasa wewe unaonekana kabisa kua unajadili kishabiki,ni ngumu sana kujadili issue ya namna hii kwa mtu aliye jikoki kubishia watu kishabiki.
Itakuwa wewe ni mgeniWakimtoa kwenye ramani wataharibu..konki ana wafuasi. Yani wataamsha hasira za watu. Wangemwacha hivyohivyo, konki anahitaji msaada na sio adhabu
Ni mtindo wa kipuuzi sana, sasa hivi hawasemi tena tuhuma mahususi za watu, wanasema tu makosa ya jinai.Mbona haya mambo kwa wengine hatuyaoni kah inatia kinyaaaaa kma kinyesi katambi kweli umekosa mambo ya kufanya kwenye wizara yako hyo mpka uanze na DUDU BAYA ETI JINAI KWANI inchi hiii
Ni fashion JINAI NA UGAIDI NDIO VITU VYA MSINGI DAHA KAMA UNASIKIA UNAJIDHALILISHA mdgo wangu acha hata hyo wizara kweli mbona kma unaivua nguo
Ni mamlaka ipi yenye uwezo wa kumkuta mtuhumiwa kua ana kosa na kumuhukumu kwa mujibu wa sheria?Makosa ambayo wenzake walisamehewa baada ya Ku show up na kuongea na Waziri
Kuna mambo matatu polisi wanayoweza kukuita kituonihawalazimiki kukwambia wanachokuitia, lazima uelewe kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia, hivyo kama wewe ni raia mwema kwa hali ya kawaida hauna cha kuhofia kwani ndiyo sehemu inayaopaswa kuwa salama klk zote kwa raia in theory at least na unapaswa kutii, usipotii kuna sheria inayowalinda kwa kukukamata na kukufungulia mashitaka ya kukaidi wito.
again sijui undani wa hiyo kesi, ila naongelea kiujumla polisi anaweza kumuita mtu yoyote yule kutaka ufike kituoni hiyo ni kawaida kabisa na ni dunia nzima na hawalazimiki kukwambia sababu ya kukuitia kabla ya kuripoti kuna wengine wanaweza kukwambia uwapigie simu na mkayamaliza kwenye simu au wengine wakataka ufike kituoni au hata wakatia timu kwako au ofisini lkn kuitikia wito siyo hiari ...
Polisi ndiyo wamekasimiwa mamlaka ya Kuchunguza Jinai kabla ya shauri kupelekwa katika Mahakama ya SheriaNi mamlaka ipi yenye uwezo wa kumkuta mtuhumiwa kua ana kosa na kumuhukumu kwa mujibu wa sheria?
Hukumu ya hayo makosa,kuna kifungu cha msamaha kama suspect atakua convicted na court of Law?
Hao walio samehewa,walisamehewa na nani? Na mahakama?Polisi ndiyo wamekasimiwa mamlaka ya Kuchunguza Jinai kabla ya shauri kupelekwa katika Mahakama ya Sheria
Unajua Polisi Makosa madogo madogo wanaweza ku compound? Mathalani umeiba simu ya sh. 20,000/= kama hujatumia kisu, Panga au Bunduki utakua termed wizi wa kawaida then utatakiwa kukubali kosa na kulipa sh. 20,000 na kuachiwa so hata hao waliosamehewa waliambiwa makosa yao na probably they asked for forgiveness kuna mambo mengi ambayo yanaweza kumalizwa nje ya mahakama.Hao walio samehewa,walisamehewa na nani? Na mahakama?
Walikutwa na makosa na Mahakama?
Dudu BayaDudu baya ameoa?
Wengine huwa hawajui ukubwa wa hiyo wizaraExactly. Huwezi kuwa na waziri anaita watu hovyo hovyo. Hiyo ni kazi ya police.
Na ana watoto piaDudu baya ameoa?
unataka matusi twende kazi? Acha matusi yasio na tija.. ninakuheshima na ndio maana nimekujibu...We kenge km nani,
Hizo video mbili umezikiliza hadi mwisho? waziri kasema wampime.. au hujasikia hilo neno la kupimwa?Nani anayetakiwa kupimwa? Na kupima nini? Waanze kutoa majibu ya muhimbili, mbona wamebaki nayo,
ππππ ndio raha ya kuwa na akili, Noel hajawahi feli kabisa, kweli Degree yake ya Sheria anaitendea haki.
Umeandika uharo! Waziri siyo polisi. Yeye aliwaalika wasanii kwenye mkutano. Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kuhudhuria mkutano wa waziri.polisi wanaweza kumuita mtu yoyote yule aidha kwa barua, simu au hata wakafika kwako nyumbani au eneo la kazi na kukutaka ufike kituoni kama wanakuhitaji, nafikiri hiyo ndiyo kazi ya polisi, wote tunapenda mabadiliko lkn tusishabikie utovu wa nidhamu kwa kuwa tu tumekwama, kama kapewa mwaliko rasmi na polisi afike kituoni siku xyz basi alipaswa kutii na kufika na kama hakuweza kufika alipaswa awajulishe halafu wao wangeamua nini cha kufanya kama kumpa tarehe nyingine au vinginevyo lkna kukaidi na kukaa kimya siyo, binafsi siipendi hii regime lkn kosa ni kosa ...
hilo swali nilitaka kuuliza. Akikujibu nijulisheDudubaya ameitwa na Katambi au Polisi?..
Maelezo marefu ila hayana maana yeyote,Unajua Polisi Makosa madogo madogo wanaweza ku compound? Mathalani umeiba simu ya sh. 20,000/= kama hujatumia kisu, Panga au Bunduki utakua termed wizi wa kawaida then utatakiwa kukubali kosa na kulipa sh. 20,000 na kuachiwa so hata hao waliosamehewa waliambiwa makosa yao na probably they asked for forgiveness kuna mambo mengi ambayo yanaweza kumalizwa nje ya mahakama.