Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

Kumbe siku hizi ukituhumiwa kwa jinai unaweza kufanya negotiation na waziri akalimaliza na sio kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndivyo vipime na kuamua juu ya tuhuma husika?

Nimejisahau sana kuwa updated na sheria zetu. Kumbe mahakama imepunguziwa mzigo na sasa waziri anaweza kutoa judgment.
 
Sijategemea kama kuna siku hii nchi itakuwa inaendeshwa kizembezembe namna hii...........tumeshapoteza dira, hamna kitu wowote ile ya maana tunayofanya nowdays ni comedy comedy tu
 
sielewi undani wa hiyo kesi lkn kama ni kweli aliitwa rasmi na polisi na akakaidi basi anapaswa kukamatwa, nafikiri hilo lipo kisheria, polisi wanaweza kumuita mtu yoyote yule ...
Sasa kama amesema ni wa kupimwa akili means ana wasiwasi na utimamu wake,kama ndivyo,ni kwanini wamwite Mtu asiye timamu?
 
Dogo ans mohemko sana utadhani sip wazori wa mambo ya ndani, anapenda kuongea ongea hovyo hajifunzi kwa wenzake walio pita?
 
Hiyo nayo NI kazi ya waziri kwani ye Hana Watu WA chini yake ,me najua waziri NI kiongozi mkubwa Sana kudili na personal issue kama hii
 
Mkamateni fasta huyo DUDUBAYA a.k.a DUDUMIZI.

Naagiza akamatwe mara moja.

Shenzi sana, limezidi kutoa matusi.
 
Huu ndio Ujinga wa ku-vett watoto kwenye nafasi zina taka watu wazima..chi iko jalalani kabisa.
 
Dogo ans mohemko sana utadhani sip wazori wa mambo ya ndani, anapenda kuongea ongea hovyo hajifunzi kwa wenzake walio pita?
Anaendesha serikali kama familia yake nyumbani ,hajui sheria zinasemaje ,mtu ana jinai halafu unamwita kihuni huni...Dudubaya akiwa na wanasheria wazuri angekaza tu akamwambia wamtafute mwanasheria wake kwanza.
 
Baada ya kuona Dudubaya Mambas24 anapinga vitendo vya kishoga kwa nguvu zake zote, sasa serikali hii ya kishoga imeanza kumuandana ili kukwamisha juhudi zake za kukemea ushoga. Serikali hii ina mambo ya kichoko na kiquma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…