Uzalendo kwanza
 
Uzalendo, hakuna anayepigwa package
 
Naona imeshindikana kabisa kuketi na Chadema ikatengenezwa win-win.
 
Kama kula kwako ni mpaka utoke nje kila siku ilalamikie na iwajibishe serikali yako.
Kwahyo serikali ndo itaniletea ugali sebuleni?
Mimi sipo Canada nipo TANZANIA nakula kwa jasho langu si kwa msaada wa mabeberu
 
Mimi nafanya kazi napata Hela kwa jasho langu, sikeshi naomba Hela kwa mabeberu

Jamani, si ndio nimekupongeza kwa hili jasho unalotoa na linalipa? Nani kakataa? Hizi nguvu zamu hii sio za kitoto, huombi kwa mabeberu ndio kwani hata una access nao? Unajua hata kuandika barua ya kuomba kazi ya kusafisha choo? Huna huo uwezo, ndio maana unakesha hapa na mamaduro anakuona anakulipa package nzuri, ndio jasho lako hamna ugomvi, kazi ni kazi hata uchawa kazi ujue! Sasa hutaki kupongezwa kwa kazi nzuri?? ๐Ÿ˜› ๐Ÿ˜›

IQ yako ni ngapi asilimia?
 
Mbona kama umepaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ