Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Kuna Maimani hayafai kwa makuzi ya ufahamu wenye afya
Majitu yanazeeka yakiwa ya hovyo hovyo
Kuna vidude vya imani fulani vinatakiwa kuishia utendaji wa kijiji basi
huna haja ya kunilisha maneno gentleman na kupotosha wadau wa jf,Mkuu kuna tofauti ya ukweli na msimamo, wewe una msimamo unajulikana msimamo wako na umekuwa ukiusimamia vizuri tu huo msimamo wako.
Hakuna porojo hapo ni facts na lazima utakubali ni swala ni muda tuuachana na poro gentleman, plz
Hapana mkuu, nachoeleza ni kwamba unachofanya wewe ni kuonyesha msimamo na si kueleza ukweli. Wewe una msimamo wako na unajulikana na msimamo unaweza kubeba ukweli na uongo sasa unaposema kuwa wewe unaeleza ukweli unashangaza.huna haja ya kunilisha maneno gentleman na kupotosha wadau wa jf,
sinaga haja ya kua na msimamo kwenye jambo lolote hata kidogo, kwasababu misimamo haijawahi kua na msaada kwangu na kwa yeyote yule unaemfahamu ana msimamo, zaidi ya kuloose tu everthing.
kwa mfano,
kuana watu waliwahi kua na misimamo ya kususia chaguzi na kugomea matokeo mathalani huko Kenya, USA, Zanzibar na hata hapa bara, lakini wakaambulia patupu mpaka wa leo na mabo yanasonga bila mbambamba yoyote.
kwahivyo,
mimi hua naeleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu.
porojo na uzushi sina muda navyo kabsaa
Leo umenena mkuusina haja hata kidogo kujua au kuelewa lengo lako gentleman,
in fact,
nachojua mimi ni kwamba,
hata kwenye bibilia imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" sasa kama hata kwenye bibilia iko hivyo, unafiki wa kindezi wa nini kwa gaidi lofa aliebebwa ufala wa kifikra na wenzake akaangamizwa kwenye upimbi alokua anafanya?
ni muhimu sana kuacha unafiki,
yaani gaidi anamkata vidole mpiga kura halafu aachwe au achekewe tu right?🐒
kusoma hujui hata picha huoni?Wewe ni Islamophobe. Na chuki hii ina madhara kwako wewe mwenyewe. Wengine tunajua kuwa hizi chuki dhidi ya watawala Waislam ni kutokana na Islamophobia ambayo baadhi yenu mnayo. Na baadhi yenu hamuwezi hata kujificha. Kelele zote hizi moja ya sababu ni Islamophobia. Hii Nchi mnahisi ni nyinyi tu ndio mnatakiwa kutawala. Kila anapokuja Rais Muislam mtamsumbua na kumuwekea mazingira magumu kufanya Nchi isitawalike aonekane hafai.
Ni watu mmejaa husuda na chuki. Tunamuomba Allah Atukinge na Shari yenu.
Kwa hiyo sheria inaruhusu mtumishi wa umma kurushiwa mawe? Kwa hizi akili mtauliwa sana.polisi ni mtumishi wa umma babu, kinyume na hapo atatupiwa mawe tu pamoja na bunduki yake yenye risasi
Kumbe nawe ni Madrassa, pole mkuu.Sasa hapa Madrasa inaingia vipi wewe kafiri! Huwa hamuwezi kuficha chuki zenu dhidi ya Uislam.
kwani kazi ya polisi ni kupiga risasi raia? Acha kujitoa ufahamu kuhusu kazi za hao watumishi wa ummaKwa hiyo sheria inaruhusu mtumishi wa umma kurushiwa mawe? Kwa hizi akili mtauliwa sana.
Najua umeshanielewa. Vemakwani kazi ya polisi ni kupiga risasi raia? Acha kujitoa ufahamu kuhusu kazi za hao watumishi wa umma
mama samia2025 acha kushadidia polisi waue raia, wana jukumu la kulinda usalama wa raia, sio kuua raiaNajua umeshanielewa. Vema
Nafikiri ni katiba ya zanzibar sababu ya tanganyoka ni kijitabu tuAu katiba ya Zanzibar ndio inataka kumrushia polisi jiwe uchapwe risasi
Huku kweli tuna kijitabuNafikiri ni katiba ya zanzibar sababu ya tanganyoka ni kijitabu tu
Raia hawana jukumu la kuwarushia mawe polisi.mama samia2025 acha kushadidia polisi waue raia, wana jukumu la kulinda usalama wa raia, sio kuua raia
Wazanzibar hawakupendi.
Wazanzibar hawakupendi.
Huu ujumuishi unaofanya hapa Mimi napingana nao..Unachokifanya hapa kinaitwa stereotyping nikimaanisha unafanya generalisation ambayo imekuwa oversimplified na unfair assumptions..Unachukua tabia ya Mzanzibari Mmoja halafu unaiaplai kwa kila Mzanzibari,ni Sawa na mtu anayemuona Imamu mmoja au Mchungaji mmoja ambaye hajasoma halafu anasema Waislamu wote au Wakristo wote si Wasomi,kuangalia mambo kwa mtazamo huu unatufanya tushindwe kuwa na open minded communication,pia inatufanya tusiaminiane na tuzidi kubaguana na kuongeza Utengano kwenye Nnchi yetu na pia imechangia sana Sisi kushindwa kuwa na collaboratives efforts za kupambana na maovu hapa Tanzania..Hakuna anayefaidika na haya zaidi ya wachache ndani ya CCM,Kero za Muungano bado hazitatuliwi,Zanzibar na Tanganyika sote tunapoteza..CCM wanatumia hizo kero za Muungano kuhakikisha wanatriger chuki kati yetu na kutugawa ili kamwe tusiweze kuwa na collective action kudai mabadiliko ambayo yatakuwa na manufaa ya Watanzania wote.Tanzania huwezi kuta kuna kundi linaweza kuungana na kuwa na Sauti moja kudai Mabadiliko,Tunahitaji kutatua hili tatizo na tusikubali kuwa Wahanga wa hii michezo ya CCMWazanzibar hawakupendi. Punguza shobo