Kingine gharama za kuzalisha umeme kwa maji kwa unit 1 yaweza kuwa 36Tsh ila kwa gas ni 300tsh! Sasa akili ni ipi hapo?hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
Anaweza akapata urais wa watuma salaam wa tbcHuyu jamaa ana mtandao mrefu Ila hataweza kuwa Rais, yaliyomkuta Lowasa yanaweza kutokea tena kwake.
Kwenye haya mambo ya calculations ndiyo watanzania wengi tunapigwa sanaKingine gharama za kuzalisha umeme kwa maji kwa unit 1 yaweza kuwa 36Tsh ila kwa gas ni 300tsh! Sasa akili ni ipi hapo?
Ukiweka ewura na kodi na takataka zingine
kwa gas unit 1 inaweza kuwa 500tshs. huku unit ya umeme wa maji ikiwa 100tsh.
Sasa hapo nani mwenye akili!? Aliyeanzisha umeme wa maji au wa gas?
Alitumia kimemo toka kwa mlima mapapai wa chalinze😅 ambaye ndio anampigisha pindi jinsi ya kuongoza taifa!Hivi Samia alitumia kigezo gani kumpa huyo kipara wizara nyeti kama hii ?
Kweni mwanaChadema hawezi kuongelea Bwawa la Nyenyere?Ungejikita tu na CDM yako hii kujifanya CCM nje ndani haikupeleki popote nenda kadai katiba
Huyu jamaa na migulu ya chemba ni hatari saanaJamaa anajiandaa kikamilifu ndiyo maana tunasema kuwa mama yetu kamkaribisha nyoka nyumbani kwake
Kazi kaziAisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi [emoji23].
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Alitupiga sana Pesa za Gadafi.Uzuri wa Membe tayari ana fedha
Kama ananiwangia humu Jukwaani Imagine huko kitaa si ndio huwa anakesha kwenye mabati usiku kucha akiwanga😆Mbona huyu Magonjwa Mtambuka anakuandama na dislike? Akishashibaga viporo vya kande iliyochacha anajiondoaga ufaham.
Nakazia Madeni yakutishaUtetezi mwingine kama huu hauna hata maana, Magufuli alikuta mradi wa umeme wa gas na uzalishaji umeshaanza. Ni kwanini apeleke 7t kwenye mradi mpya wa maji kuleta 2,115mg, kwani angeingiza 3t kwenye mradi wa gas tusingepata hizo 2,115mg? Au yeye Magufuli alikuwa anaharibu image ya JK? Tumekuwa nchi ya wajinga, kila rais akiingia anakuja na miradi ya kusaka sifa zake,matokeo yake tunabaki na mamiradi yaliyo chini ya kiwango, na madeni ya kutisha.
Kama jiwe kaiona pepo basi kwa Membe ni mbinguni kabisaAlitupiga sana Pesa za Gadafi.
Hataiona pepo.
Naelewa hivoUnaelewa nini unapoambiwa winchi lenye uwezo wa tani 26?
Ila bimkubwa anawachukulia poaHuyu jamaa na migulu ya chemba ni hatari saana
Nadhani naye ananufaikaIla bimkubwa anawachukulia poa
Hata TPA zipo mobile crane zinanyanyua zaidi ya 30t.CSC Tz hata Caspian wana Whinch za tani 30+
Umesahau huu mradi ulimtoa huyu jamaa kwenye uwaziri wa mazingiraAisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!
Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Kalemani siyo makamba na malengo ni tofauti,huyu anatafuta pesa za kuhonga apate urais,Yule yy anataka kazi iishe watu tupate umeme kwa bei rahisi.Mwezi March/April mwaka huu Kalemani alitwambia ujazaji wa maji kwenye bwawa hilo ungeanza mwezi november mwaka huu, sasa kulikoni?
Ananufaika wakati jirani zako wanakuzngukaNadhani naye ananufaika