Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
Kingine gharama za kuzalisha umeme kwa maji kwa unit 1 yaweza kuwa 36Tsh ila kwa gas ni 300tsh! Sasa akili ni ipi hapo?

Ukiweka ewura na kodi na takataka zingine
kwa gas unit 1 inaweza kuwa 500tshs. huku unit ya umeme wa maji ikiwa 100tsh.

Sasa hapo nani mwenye akili!? Aliyeanzisha umeme wa maji au wa gas?
 
Kwenye haya mambo ya calculations ndiyo watanzania wengi tunapigwa sana
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi [emoji23].

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Kazi kazi
Screenshot_2021-11-12-11-24-42-38.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utetezi mwingine kama huu hauna hata maana, Magufuli alikuta mradi wa umeme wa gas na uzalishaji umeshaanza. Ni kwanini apeleke 7t kwenye mradi mpya wa maji kuleta 2,115mg, kwani angeingiza 3t kwenye mradi wa gas tusingepata hizo 2,115mg? Au yeye Magufuli alikuwa anaharibu image ya JK? Tumekuwa nchi ya wajinga, kila rais akiingia anakuja na miradi ya kusaka sifa zake,matokeo yake tunabaki na mamiradi yaliyo chini ya kiwango, na madeni ya kutisha.
Nakazia Madeni yakutisha
 
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!

Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.

Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.

Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo eti?!

Mawinchi mamia yaliyojaa Tanzania hii ambayo hata Waturuki wa SGR wanayo kibao ajabu leo tunadanganywa eti Nchi nzima hayapo?!
Umesahau huu mradi ulimtoa huyu jamaa kwenye uwaziri wa mazingira

Sasa yupo hapo kulipiza na kukwamisha
 
Mwezi March/April mwaka huu Kalemani alitwambia ujazaji wa maji kwenye bwawa hilo ungeanza mwezi november mwaka huu, sasa kulikoni?
Kalemani siyo makamba na malengo ni tofauti,huyu anatafuta pesa za kuhonga apate urais,Yule yy anataka kazi iishe watu tupate umeme kwa bei rahisi.
 
hapo kuna kitu kinafichwa kwa kisingizio cha kukosekana Crane ya kubeba tani 26!! mwanzoni mwa miradi tunaonaga mashine na vifaa muhimu vya kazi vinapelekwa kwenye hizo kazi sasa wamecheleweshaje hiyo Crane mda wote huo wakati mrad umeanza zaid ya mwaka sasa..!!!
 
Back
Top Bottom