Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kingine gharama za kuzalisha umeme kwa maji kwa unit 1 yaweza kuwa 36Tsh ila kwa gas ni 300tsh! Sasa akili ni ipi hapo?hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
Ukiweka ewura na kodi na takataka zingine
kwa gas unit 1 inaweza kuwa 500tshs. huku unit ya umeme wa maji ikiwa 100tsh.
Sasa hapo nani mwenye akili!? Aliyeanzisha umeme wa maji au wa gas?