Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

Faida kuu ni kuvaa kanzu na kubong'oka ?
 
Faida kuu ni kuvaa kanzu na kubong'oka ?

Yohane 19:23-37 BHN​

Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.

8 Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
 
DP WORLD wanakuja kumsulubisha Yesu kwa mara ya pili huko kwala ili wajenge msikiti vizuri?
 
Kama mkataba huu wa Kimangungo una faida, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Halafu Ibara 4 (2) inasema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Je, tuombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia mkataba huu to
 
Mkataba upi unaouongelea? IGA au?

IGA si imesainiwa na serikali ya Muungano wa Tanzania? au ilisainiwa na serikali ipi?
Utakuwaje na Tanzania bila Zanzibar?
 
Nchi imeyimba kwa kukosa watu sahihi kushika uongozi
Aaah manidanya akili mwenu tu.


Sikioni cha maana hata kimoja, mama anawaweza kweli kweli, nyie wqakati mnapiga kelele za kijinga mitandaoni, mama yupo Kenya, mara yupo malawi, mara yupo Dubai, anachapa kazi tu.

Hivi kwa ujinga wenu kuna kuyumba kupi?

Serikli ya mama siyo ya kukurupuka, na kishasema semeni yeye anachapa kazi tu.
 
Serikli = Serikali.
 
Sasa huyo ni kiongozi au ni mzururaji?
 
Sasa huyo ni kiongozi au ni mzururaji?
Ulifikiri ni nini maana ya dunia ni kijiji?


Mlipokosa hoja kwa Kikwete mliyasema hayohayo. Kiongozi ambae hakuwa mzururaji si mnaona alivyotutia mkenge? Sasa tunalipa madeni ya bure, watu wanakula pesa bila kuzifanyia kazi, mpaka tujambe.
 
Ulifikiri ni nini maana ya dunia ni kijiji?


Mlipokosa hoja kwa Kikwete mliyasema hayohayo. Kiongozi ambae hakuwa mzururaji si mnaona alivyotutia mkenge? Sasa tunalipa madeni ya bure, watu wanakula pesa bila kuzifanyia kazi, mpaka tujambe.
Matatizo makubwa ya nรงhi hii ni CCM na katiba ya mwKa 1977
 
ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masauni nakuasa tu, jifunลบe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo makubwa ya nรงhi hii ni CCM na katiba ya mwKa 1977
Bujibuji wew emtu wa zamani sana kwenye siasa zetu za JF, hakuna tatizo CCM wala kwenye katiba. Tatizo ni ujinga wa Mtanzania.

Hivi miaka yote ya upinzani Tanzania hii tumeshindwa kuwa hata na majority au coalition ya wabunge bungeni ili kuiweka katiba sawa kule kule zinakutungw sheria? Fikiri. Upinzani umeshindwa hata ku lob wabunge wengine wa CCM wawe wanapigia wanayoyaona wao kuwa ndiyo haki?


Kuna mengi sana ya kusikitisha kwenye Ujinga wetu wa kutafuta visingizio visivyokuwepo. Tunashindwa hata na Kenya?


Mimi nakwambiya, ujinga ndiyo uliotujaa, hakuna mpinzani mwenye nia ya dhati kutaka mabadiliko, wapinzani wanachotaka ni kutunisha matumbo yao tu, wanatumia ujinga wa Watanzania kufanikisha nia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ