Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote,
Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini?
Alianza na suala la Wananchi Vijijini waunganishiwe umeme haraka TANESCO wakampuuza,
Kafuata suala la kushusha bei ya gesi za majumbani wakagoma
Sasa hivi amekimbilia Kigoma najua napo watampuuza tu maana hana impact na mimi nimeanza kumdharau
Tatizo nini mbona Mawaziri kama Juma Awesu hawacheki na kima wanaheshimika?
Mbona Waziri kama Ummy anaheshimika akitoa maagizo ni fasta?
Huyu Kalemani kila mtu anamdharau TANESCO wanamdharau EWURA wanamdharau, Hajui kutumia mamlaka yake kuleta heshima eti?