RubbishHiyo ni ajali kazini….unadhani wanaishije polisi toka mwaka 2015 hawajaongezwa mishahara huku gharama za maisha zikipanda!?
Wa kulaumiwa hapa ni serikali kutokuboresha maslahi yao…tuache utani hawa jamaa wapo busy sana,wanafanya kazi ngumu sana,hii mambo serikali inafanya mzaha sana….huwezi kuwatelekeza watu wanao shinda na silaha miaka kadhaa bila kuboresha maslahi yao,unategemea nn!?
[emoji106] Upepo umepuliza na nyeti za kuku zimeonekana. Kuna kila ishara bundi analia karibu na mtu.Ndugu yangu na rafiki yangu IGP Sirro Nyakoro kwanini anakuwa mgumu kujiuzulu, ajifunze kusoma alama za nyakati Mama hamuhitaji tena kwenye serikali yake anayoiongoza maana anaitia doa.
akili yake inamwongoza yeye hakua mtwara hivyo nikesi ya polisi mtwaraNdugu yangu na rafiki yangu IGP Sirro Nyakoro kwanini anakuwa mgumu kujiuzulu, ajifunze kusoma alama za nyakati Mama hamuhitaji tena kwenye serikali yake anayoiongoza maana anaitia doa.
Waziri wa mambo ya ndani ndio wa kujiuzulu kama alivyofanya Mzee Mwinyi mwaka 1975.Unayo haki ya kushangaa kwasabb umekulia ktk jamii ovu hivyo umejazwa uovu. Mpk kwenye umri wako hujui kitu kinaitwa "uwajibikaji wa pamoja" (collective responsibility).
Hapa ndipo nchi za watu zinapotupiga gap
Japan likitokea suala kama hili serikali nzima inadondoka na uchaguzi unafanyika upya.Waziri wa mambo ya ndani ndio wa kujiuzulu kama alivyofanya Mzee Mwinyi mwaka 1975.
MakenikiaKwa miaka ya karibuni ni tume gani iliyoundwa na matokea kutangazwa hadharani?
Moto Morogoro
Moto kariakoo
Moto mashuleni
nk nk nk nk
Ni muendelezo wa kugawana posho.
Acha ikae hivyo.
Japan ni dunia ya kwanza Tanzania ni ya tatu. Nadhani unazifahamu gharama za kurudia uchaguzi katika nchi ambayo zaidi ya asilimia hamsini ya bajeti ni pesa za wafadhili.Japan likitokea suala kama hili serikali nzima inadondoka na uchaguzi unafanyika upya.
Kwahiyo sioni sababu ya kumtenga waziri mkuu na dhambi hii
Sirro nasoma nae Tosamaganga anapaka uji kwenye shati namuona enzi hizo unavikwa chupi za lastick na Mzazi wako huwezi elewa kitu ndio maana unaandika upupu huuAcha kutafuta sifa za kijinga wewe. Tangu lini IGP Sirro awe rafiki na ndugu yako?
Weka ushahidi hapa acha porojo. Mnatafuta sifa za kijinga jamvini na kukera watu bure. Ukitupiga fiksi hivi unafaidika nini? Na uspotupiga fiksi unapungukiwa na nini?Sirro nasoma nae Tosamaganga anapaka uji kwenye shati namuona enzi hizo unavikwa chupi za lastick na Mzazi wako huwezi elewa kitu ndio maana unaandika upupu huu
Ndiyo maana hatutaki rais ang'oke. Tunataka waziri mkuu ang'oke ili atafutwe waziri mkuu mpya na Baraza jipya la mawaziri . Hakuna uchaguzi mkuu ktk kutengeneza baraza jipya la mawaziriJapan ni dunia ya kwanza Tanzania ni ya tatu. Nadhani unazifahamu gharama za kurudia uchaguzi katika nchi ambayo zaidi ya asilimia hamsini ya bajeti ni pesa za wafadhili.
Ngoja nifike nyumbani jiandae kunyonywa kinyeo na mzunguWeka ushahidi hapa acha porojo. Mnatafuta sifa za kijinga jamvini na kukera watu bure. Ukitupiga fiksi hivi unafaidika nini? Na uspotupiga fiksi unapungukiwa na nini?
Nyau wewee!
RPC wa Geita anaoneka mstaarabu sana na mtulivu akizungumza kwenye TV, system inaweza ikampromote au huyo Mama Kaganda kama wengi wanavyosema au achukuliwe mtu wa jwtz kwasababu jwtz hawana ubabaishaji.
Wewe kutaka na kutokea kwa unachotaka ni vitu viwili tofauti. Inategemea na uhusiano wa Kassim na SSH. Kwa maana ya wao kuiva kama wanasiasa.Ndiyo maana hatutaki rais ang'oke. Tunataka waziri mkuu ang'oke ili atafutwe waziri mkuu mpya na Baraza jipya la mawaziri . Hakuna uchaguzi mkuu ktk kutengeneza baraza jipya la mawaziri
Ilitakiwa Sirro na Masauni wawe walishajiuzulu muda kwa kashfa za POLICE.Viongozi wengi Tanzania.