Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

Hiyo ni ajali kazini….unadhani wanaishije polisi toka mwaka 2015 hawajaongezwa mishahara huku gharama za maisha zikipanda!?

Wa kulaumiwa hapa ni serikali kutokuboresha maslahi yao…tuache utani hawa jamaa wapo busy sana,wanafanya kazi ngumu sana,hii mambo serikali inafanya mzaha sana….huwezi kuwatelekeza watu wanao shinda na silaha miaka kadhaa bila kuboresha maslahi yao,unategemea nn!?
Rubbish
 
Mamlaka ipi ya uteuzi huteua IGP?? Maagizo yanakuja karibia wiki 2-3 zimepita au bado alikuwa anaogopa baada ya kauli za kule Kwa AKINA KASSIM!
 
Ndugu yangu na rafiki yangu IGP Sirro Nyakoro kwanini anakuwa mgumu kujiuzulu, ajifunze kusoma alama za nyakati Mama hamuhitaji tena kwenye serikali yake anayoiongoza maana anaitia doa.
[emoji106] Upepo umepuliza na nyeti za kuku zimeonekana. Kuna kila ishara bundi analia karibu na mtu.
 
Kwa miaka ya karibuni ni tume gani iliyoundwa na matokea kutangazwa hadharani?
Moto Morogoro
Moto kariakoo
Moto mashuleni
nk nk nk nk
Ni muendelezo wa kugawana posho.
Acha ikae hivyo.
 
Ndugu yangu na rafiki yangu IGP Sirro Nyakoro kwanini anakuwa mgumu kujiuzulu, ajifunze kusoma alama za nyakati Mama hamuhitaji tena kwenye serikali yake anayoiongoza maana anaitia doa.
akili yake inamwongoza yeye hakua mtwara hivyo nikesi ya polisi mtwara

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Unayo haki ya kushangaa kwasabb umekulia ktk jamii ovu hivyo umejazwa uovu. Mpk kwenye umri wako hujui kitu kinaitwa "uwajibikaji wa pamoja" (collective responsibility).

Hapa ndipo nchi za watu zinapotupiga gap
Waziri wa mambo ya ndani ndio wa kujiuzulu kama alivyofanya Mzee Mwinyi mwaka 1975.
 
na yule msemaji wa polisi aliyekuwa anatetea uovu na kuongea kwa nyodo, wasimsahau. walifikiri watanzania ni wajinga.
 
Waziri wa mambo ya ndani ndio wa kujiuzulu kama alivyofanya Mzee Mwinyi mwaka 1975.
Japan likitokea suala kama hili serikali nzima inadondoka na uchaguzi unafanyika upya.

Kwahiyo sioni sababu ya kumtenga waziri mkuu na dhambi hii
 
Japan likitokea suala kama hili serikali nzima inadondoka na uchaguzi unafanyika upya.

Kwahiyo sioni sababu ya kumtenga waziri mkuu na dhambi hii
Japan ni dunia ya kwanza Tanzania ni ya tatu. Nadhani unazifahamu gharama za kurudia uchaguzi katika nchi ambayo zaidi ya asilimia hamsini ya bajeti ni pesa za wafadhili.
 
Acha kutafuta sifa za kijinga wewe. Tangu lini IGP Sirro awe rafiki na ndugu yako?
Sirro nasoma nae Tosamaganga anapaka uji kwenye shati namuona enzi hizo unavikwa chupi za lastick na Mzazi wako huwezi elewa kitu ndio maana unaandika upupu huu
 
Sirro nasoma nae Tosamaganga anapaka uji kwenye shati namuona enzi hizo unavikwa chupi za lastick na Mzazi wako huwezi elewa kitu ndio maana unaandika upupu huu
Weka ushahidi hapa acha porojo. Mnatafuta sifa za kijinga jamvini na kukera watu bure. Ukitupiga fiksi hivi unafaidika nini? Na uspotupiga fiksi unapungukiwa na nini?

Nyau wewee!
 
Japan ni dunia ya kwanza Tanzania ni ya tatu. Nadhani unazifahamu gharama za kurudia uchaguzi katika nchi ambayo zaidi ya asilimia hamsini ya bajeti ni pesa za wafadhili.
Ndiyo maana hatutaki rais ang'oke. Tunataka waziri mkuu ang'oke ili atafutwe waziri mkuu mpya na Baraza jipya la mawaziri . Hakuna uchaguzi mkuu ktk kutengeneza baraza jipya la mawaziri
 
Weka ushahidi hapa acha porojo. Mnatafuta sifa za kijinga jamvini na kukera watu bure. Ukitupiga fiksi hivi unafaidika nini? Na uspotupiga fiksi unapungukiwa na nini?

Nyau wewee!
Ngoja nifike nyumbani jiandae kunyonywa kinyeo na mzungu
 
RPC wa Geita anaoneka mstaarabu sana na mtulivu akizungumza kwenye TV, system inaweza ikampromote au huyo Mama Kaganda kama wengi wanavyosema au achukuliwe mtu wa jwtz kwasababu jwtz hawana ubabaishaji.

Ugumu wa hili somo kueleweka sijui uko wapi. Wrong diagnosis, wrong prescription!

Hivi unawezaje kuboresha huduma ya usafiri wa train kwa kununua kichwa kipya cha train huku ukiiacha miundombinu mingine (reli, mabewa, etc.) ikibaki taabani kama ilivyokuwa?
 
Ndiyo maana hatutaki rais ang'oke. Tunataka waziri mkuu ang'oke ili atafutwe waziri mkuu mpya na Baraza jipya la mawaziri . Hakuna uchaguzi mkuu ktk kutengeneza baraza jipya la mawaziri
Wewe kutaka na kutokea kwa unachotaka ni vitu viwili tofauti. Inategemea na uhusiano wa Kassim na SSH. Kwa maana ya wao kuiva kama wanasiasa.
 
Back
Top Bottom