The Hyper
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,788
- 1,101
RubbishHiyo ni ajali kazini….unadhani wanaishije polisi toka mwaka 2015 hawajaongezwa mishahara huku gharama za maisha zikipanda!?
Wa kulaumiwa hapa ni serikali kutokuboresha maslahi yao…tuache utani hawa jamaa wapo busy sana,wanafanya kazi ngumu sana,hii mambo serikali inafanya mzaha sana….huwezi kuwatelekeza watu wanao shinda na silaha miaka kadhaa bila kuboresha maslahi yao,unategemea nn!?