Hivi kwani PM hawezi kufukuzwa kazi?Naunga mkono hoja, Mh Kassim Majaliwa kapoteza sifa za kuwa kiongozi - hivyo atolewe kwenye Uwaziri Mkuu. Ni vile ubunge hawezi fukuzwa lakini angekuwa mstaarab na mwajibikaji angejiuzulu Ubunge kisha u PM.
Majiliwa amekufa kisiasa.
Wakupe wewe basiHata kuipata hiyo nafasi ya pm kwake yeye aliona kama muujiza
Kusema uongo ujipangeAliposema JPM anaendelea vizuri nikajua hii chai, sijui alijisahau!!!
Poleni sanaDaah wangetuambia ukweli tungemuombea mpenzi wa Mungu..
Mbona Lowassa alibanwa akawajibika. Asipojiuzulu bunge linatakiwa limshughulikie.Tena uongo ndani ya nyumba ya Ibada [emoji102].
Kwa Tanzania hakuna wa kuwajibika na watapotezea
Acha povu, weka maelezo ya makamu wa Rais, alafu weke clip ya Waziri mkuu. Mbona mnaweweseka?Wachawi kama nyie mko wengi sana. Kwanini umeandika na kuacha maelezo mengine ya Makamu wa Rais. Na mbaya zaidi watu wanacomment tu. Ndio utagundua umbeya na majungu hayawezi kuwaisha watz wa humu. Upweke wa maisha yao unawafanya wajiridhishe kwa nje huku ndani wanabaki wagonjwa. Badilikeni. Life is more that this. Rest in Peace our President.
Daah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...Na yule mwengine akasema ametoka kuongea nae asubuhi akimshukuru kwa fedha za miradi alizompa
Msiba umemgusa kila mtu?Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?
Ahaa.Daah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...
Wanasiasa kama hawa hawawezi kabisa kutufanya tusonge mbeleDaah yule ndio simuamini hata kidogo vichwa panga vya namna ile havijawahi kuwa timamu Mkuu...
wanasiasa kama hawa hawawezi kabisa kutufanya tusonge mbele
Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.