Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

Naunga mkono hoja, Mh Kassim Majaliwa kapoteza sifa za kuwa kiongozi - hivyo atolewe kwenye Uwaziri Mkuu. Ni vile ubunge hawezi fukuzwa lakini angekuwa mstaarab na mwajibikaji angejiuzulu Ubunge kisha u PM.

Majiliwa amekufa kisiasa.
Hivi kwani PM hawezi kufukuzwa kazi?
 
Halafu mbaya zaidi anaongea uongo mbele ya mimbari ya msikiti.. Huyu hafai kabisa ni muongooo. Atamdanganya hata Rais.
 
Anza wewe kujiuzulu humu JF kwa kuonekana huna uchungu na kifo Cha JPM
 
Wachawi kama nyie mko wengi sana. Kwanini umeandika na kuacha maelezo mengine ya Makamu wa Rais. Na mbaya zaidi watu wanacomment tu. Ndio utagundua umbeya na majungu hayawezi kuwaisha watz wa humu. Upweke wa maisha yao unawafanya wajiridhishe kwa nje huku ndani wanabaki wagonjwa. Badilikeni. Life is more that this. Rest in Peace our President.
 
Mi hakunidanganya, najuta alikuwa anatania tu. Mliodanganyika poleni.
 
Wachawi kama nyie mko wengi sana. Kwanini umeandika na kuacha maelezo mengine ya Makamu wa Rais. Na mbaya zaidi watu wanacomment tu. Ndio utagundua umbeya na majungu hayawezi kuwaisha watz wa humu. Upweke wa maisha yao unawafanya wajiridhishe kwa nje huku ndani wanabaki wagonjwa. Badilikeni. Life is more that this. Rest in Peace our President.
Acha povu, weka maelezo ya makamu wa Rais, alafu weke clip ya Waziri mkuu. Mbona mnaweweseka?
 
Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.

Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi

Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.

Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.

Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?
Msiba umemgusa kila mtu?
Akifa dikteta kwa wengi wetu ni sherehe.
Mbafu kabisa
 
wanasiasa kama hawa hawawezi kabisa kutufanya tusonge mbele
image_search_1616084461295.jpg
 
Wana bodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila mwananchi haamini kilichotokea.

Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi

Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.

Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 March Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.

Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri mkuu tena?

He’s a man I can no longer trust! Angeamua kukaa kimya, ningempa the benefit of the doubt.
 
Back
Top Bottom