Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Shujaa anaongopea taifa?🤣🤣🤣Mmeanza mapema hivi? But Mungu ataipigania Tanzania.
Mashujaa wote hawawezi kuanguka siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa anaongopea taifa?🤣🤣🤣Mmeanza mapema hivi? But Mungu ataipigania Tanzania.
Mashujaa wote hawawezi kuanguka siku moja
Likivunjwa Baraza la mawaziri nae akae pembeniWaziri Mkuu wa Tanzania aliwadanganya Watanzania tena akiwa msikitini kuwa Rais ni mzima na anaendelea na kazi. Alifikia hadi kuwashutumu waliokuwa wanahoji alipo rais kuwa wao sio wazalendo hadi kufikia kutoa kauli za kashfa kuwa walikuwa wanataka Rais akazurure kariakoo....
Naunga mkono hoja aondolewe haraka hatuna imani nayeIngependeza sana iwapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi na kuwekwa mtu mwingine! Uongo, unafiki, uonevu, ukabila, ubinafsi, nk vifikie mwisho sasa.
Katiba ingekuwa fair enough tungemtoa kwa maandamanoWaziri mkuu anatakiwa ajiuzulu kwa kulidanganya Taifa kwamba rais yupo ofisini na anachapa kazi, Kumbe uongo, Angesema rais ni mgonjwa wananchi wangeweza kumuombea hata akapata nguvu tena. sasa wananchi hata wangemuombea huko aliko wasingweza kuwekeza katika kumuombea kumuepusha na hatari za roho na mwili kwa sababu waziri mkuu kasema akiwa msikitini kwamba rais ni mzima wa afya. waziri mkuu ajiuzulu katika hili.
Hawa walishajimilikisha nchiKwa kweli Majaliwa pale hakutumia hekima ya kiongozi kama yeye.
Anafikiri afya ya kiongozi wa juu ni mali ya serikali, amelewa madaraka hakumbuki kuwa kiongozi yeyote ni sisi wananchi tumewaweka pale na wanawajibika kwetu.
Ingependeza sana iwapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi na kuwekwa mtu mwingine! Uongo, unafiki, uonevu, ukabila, ubinafsi, nk vifikie mwisho sasa.
Msema kweri ni Mpenzi wa Mungu!! Au umesha msahau tayari Bwashee?Mwanasiasa gani huwa anaongea ukweli?
Raisi alilazwa tar 6 akatoka tar 7. Akazidiwa tar 14 mpaka tar 17 alipofariki. Majaliwa alisema hayo tar ngapi? Timeline inaweza kumuokoa, kama alisema baada check up ya tar 7 na kabla ya tar 14 alikua sahihi.Waziri Mkuu wa Tanzania aliwadanganya Watanzania tena akiwa msikitini kuwa Rais ni mzima na anaendelea na kazi. Alifikia hadi kuwashutumu waliokuwa wanahoji alipo rais kuwa wao sio wazalendo hadi kufikia kutoa kauli za kashfa kuwa walikuwa wanataka Rais akazurure kariakoo....
Ugonjwa wa moyo sio kama malaria hasa kwa mtu mzito kama rais wa nchi, huo ni uongo ...kwamba rais mpaka analazwa maana hiyo ni serious issue haiwezekan kabisa akalazwa Leo eti kesho aruhusiwe never, wametudanganya tenaRaisi alilazwa tar 6 akatoka tar 7. Akazidiwa tar 14 mpaka tar 17 alipofariki. Majaliwa alisema hayo tar ngapi? Timeline inaweza kumuokoa, kama alisema baada check up ya tar 7 na kabla ya tar 14 alikua sahihi.
Mwanasiasa gani huwa anaongea ukweli?