Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo

USSR
Anaacha kupambana na mafisadi wanao muhujumu na kukwapua fedha hazina yeye anahangaika na watu ambao hawana hata manati, akili hizi!
 
Ila Tanzania tunabahati mbaya ya kupata viongozi wenye uwezo wa kuongoza
 
Chadema bhana 😂 kwan n mara ngapi anatuma watu kumuwakilisha? Kwamba h n mara ya kwanza?

Ety kapigwa marufuku kukanyaga nchi kadhaa 😂 Wabongo bhana 😂 kweli akili za kupewa ongeza na ya kwako.
 
Atavuna alichopanda
 
With all due respct

This is stupid…. She had planned visit to the regions and there we no plans for her to waste time in UNGA

Manyanza wewe usiwe kasuku
 
Nahisi ratiba zake zitakuwa zimeingiliana

Maana tarehe 23/9 nimetonywa ataanza Ziara Mkoa wa Ruvuma
 
Nahisi ratiba zake zitakuwa zimeingiliana

Maana tarehe 23/9 nimetonywa ataanza Ziara Mkoa wa Ruvuma
And this was clear for weeks

Chakadomoz hawawezi kamwe kukomboa nchi kwa uongo, uzushi na utoto

What I read now humu jf, tena from respect colleagues is disheartening

How low can you go?

Mbona chakadomoz mlikua wazuri sana Kwenye mikakati?
 
Mkuu inaonekana hauna uelewa wa kutosha kuhusu siasa za Kimataifa na unashindwa kuitofautisha UN na nchi ya USA.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba ijapokuwa Makao Makuu ya UN yanapatikana NewYork, lakini hayana uhusiano wa moja kwa moja na nchi ya USA kwakuwa matakwa ya Kimataifa yameitofautisha US na UN kama mamlaka mbili tofauti zinazojitegemea.
Mfano Rais wa kukusaidia kuelewa ni kwamba wakati aliyekuwa Rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe amezuiliwa kutembelea Ulaya na Marekani, marufuku hiyo haikuweza kumzuia kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa ambayo ilikuwa ikifanyika hapo hapo Marekani kwakuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zimeweza kuitofautisha taifa la marekani dhidi ya viunga vya UN
 
With all due respct

This is stupid…. She had planned visit to the regions and there we no plans for her to waste time in UNGA

Manyanza wewe usiwe kasuku

Alikuwa amepanga kutembelea mikoa gani mkui ?
 
Mkuu mimi nimeleta taarifa wanaotoa maoni ndio wakukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…