Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaacha kupambana na mafisadi wanao muhujumu na kukwapua fedha hazina yeye anahangaika na watu ambao hawana hata manati, akili hizi!Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo
USSR
Atavuna alichopandaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
Mungu kaipiga laana nchi hiiIla Tanzania tunabahati mbaya ya kupata viongozi wenye uwezo wa kuongoza
With all due respctRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
Kabiiiiiiiiiisa
Kauli ya ki **** sana hiyo. Aliye muandalia hotuba aliwaza ..Angewaambia tu kwamba kifo ni kifo.Yanaisha.
Walikuwepo wafuataoNaona mnahangaika sana. Vipi maandamano yenu yameishia wapi?
Utasikia Mengi sanaAmeyakanyaga.nasikia ujerumani kapigwa marufuku kukanyaga
And this was clear for weeksNahisi ratiba zake zitakuwa zimeingiliana
Maana tarehe 23/9 nimetonywa ataanza Ziara Mkoa wa Ruvuma
Mkuu inaonekana hauna uelewa wa kutosha kuhusu siasa za Kimataifa na unashindwa kuitofautisha UN na nchi ya USA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi? Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.
Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria, Je safari za nchi za Magharibi atakuwa hahudhurii ?
Safari zake zitakuwa ni za South Korea, Turkey, Uarabuni na China……
Nawasilisha
Zaidi soma hapa.
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na watoto yatajadiliwa. Masuala mengine ni ya maji, bahari, athari za hali ya hewa na haki za binadamu.
Katika mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka, viongozi wa nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mijadala tofauti chini ya mada kuu ambayo ni “Hakuna kuachwa nyuma yeyote: Kushirikiana pamoja kuendeleza amani, maendeleo endelevu na heshima ya binadamu kwa vizazi vya sasa na vijavyo" (Leaving no one behind: Acting together for the advancement of peace, sustainable development and human dignity for present and future generations).
Mbali na kukuza diplomasia, ushiriki wa Tanzania kwenye mkutano huo unatoa fursa ya nchi kuwasilisha maslahi yake katika jukwaa la kimataifa, kujifunza kutokana na uzoefu wa nchi nyingine na pia kuwasilisha ajenda na mipango ya maendeleo ya nchi kwa jamii ya kimataifa.
(mwisho)
She will be in ruvumaAlikuwa amepanga kutembelea mikoa gani mkui ?
Mkuu mimi nimeleta taarifa wanaotoa maoni ndio wakukosolewaMkuu inaonekana hauna uelewa wa kutosha kuhusu siasa za Kimataifa na unashindwa kuitofautisha UN na nchi ya USA.
Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba ijapokuwa Makao Makuu ya UN yanapatikana NewYork, lakini hayana uhusiano wa moja kwa moja na nchi ya USA kwakuwa matakwa ya Kimataifa yameitofautisha US na UN kama mamlaka mbili tofauti zinazojitegemea.
Mfano Rais wa kukusaidia kuelewa ni kwamba wakati aliyekuwa Rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe amezuiliwa kutembelea Ulaya na Marekani, marufuku hiyo haikuweza kumzuia kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa ambayo ilikuwa ikifanyika hapo hapo Marekani kwakuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zimeweza kuitofautisha taifa la marekani dhidi ya viunga vya UN