LOo!

Hii ni dalili mbaya kwa Makamu wetu wa Rais.

Huyu Waziri Mkuu anajulikana kutokuwa na weledi katika maswala ya aina hii. Ni bora asinge sema kitu kuhusu jambo hili.
Halafu anaponda mtandao wa kijamii!
 
Asije akatupanga kama kipindi cha JPM
 
LOo!

Hii ni dalili mbaya kwa Makamu wetu wa Rais.

Huyu Waziri Mkuu anajulikana kutokuwa na weledi katika maswala ya aina hii. Ni bora asinge sema kitu kuhusu jambo hili.
Mfumo ndio unamuelekeza aseme nini ukiongozwa na sponsor mama
 
Usiri wa kijinga nchi hii.
 
Waziri muongo muongo.
 
Nimekupata, na huu ndio ukweli
 
Isijekuwa maza anarudi kwa ajili hiyo akiwa amejificha kwenye kivuli cha mafuriko ya Hanang'

Isijekuwa maza anarudi kwa ajili hiyo akiwa amejificha kwenye kivuli cha mafuriko ya Hanang'?
Ni kweli, kama kuja kuhani msiba angeanza na waliokufa kwenye ajali ya basi ya Allys, na mengine... Hiyo janja janja tu... Ila tunamwelewa kama mwenye nyumba Kuna mambo huwezi weka hadharani... Tuko pamoja na mama, Mungu ampe ujasiri maana Hali ya siasa ilivo ni kama inatishia marudio ya Jiwe... 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…