Kabisa
 
Watanganyika wakifuatilia mambo ya Marekani tunaambiwa si wazalendo, utakuwa vipi mzalendo wakati mambo ya kwetu hatuelezwi?

Antony Blinken kal analofanya inatangazwa, Rais wa nchi na mawaziri hata wakifanya ziara za kushtukiza Iraq au Afghanstan dunia na USA inatangaziwa, sasa hii hatujuzwi ukute mtuu mgonjwa hawataki tumuombee ila tuje kuombea maiti[ibada ya wafu/sanamu]
 
HATA JIWE MLISEMAGA HIVYO HIVYO

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa Kama zombi vile. Hajielewi. Tanzania tuna mikosi na viongozi WA awamu hii.

Ni majinga Sana.
 

View: https://www.instagram.com/p/C0bBzzhNlBM/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Siku zote nasema,CCM imeishiwa pumzi.wamebaki migongoni mwa vyombo vya Dola.
Ila kiuhalisia,viongozi ni 2%ya viongozi wote wa Ccm
Yaani,ziara ya Makonda,ijurikane kuliko ya Makamu WA Rais😠😠😠!.
Hatuna waziri mkuu,tuna Boga.
Ya JPM yanataka kujirudia.akili za mafungu walizonazo,ndo zinafikia hatua akisahau fungu Moja nyumbani matokeo yake ndo kujizima DATA.

Dunia kiganjani,ila wao wanadhani bdo tupo enzi zao wanazaliwa shame on them.🤔🤔🤔🤔.Hawa watu same time hawatufai kwa zama hizi.
 
Nje ya wapi? Humu humu duniani au utopia wanapoishi aliens! Ukiona huyu mwamba katoka hadharani kusema hivi basi Kuna mtu ka rip tu! Haiwezekani huyu jamaa aseme hivi! Study case " RIP anko magufuli"
 
Limeishajifia tayari, corona haikumuacha salama mwamba, kama hajafa,but "has one foot in grave*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…