Sawa ila hatujazoea kutosikia taarifa ya ziara ya viongozi mkubwa kama hiyo kusafiri kimya kimya kwa shughuli za kiserikali, Mara zote tumetangaziwa kama ilivyo kwa mama kule Dubai, sasa mtuambie yupo nchi gani? Unions mwananchi wanahoji hii tafsiri take ni Kuwa wana mapenzi men's na viongozi wao, wana wajalihasa kipezi cha mwananchi Dr. Mpango
 
Kaingia tena mtegoni kwa mara nyingine awamu hii angekwepa hili Ila ndio hivyo kichwa kichwa.
 
Siku hizi viongozi wanaokotwa okotwa tu... mtu yuko Kidimbwi anatumiwa ujumbe kateuliwa cheo
Nchi hii hata ggy money anaweza kupewa cheo cha juu

Ova
 
Taarifa zilizopo kwenye social media, inasemekana kafanyiwa operations ya Koo........but kama nikweli yupo kikazi inamaana hakwenda na Media teams ya kucover yale anayoyafanya?
 
Ukisikia NI MZIMA na anaendelea na kazi zake kama kawaida Basi mm huwa naiskkia hivi ‘andaa nauli tuka hani Kigoma’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…