Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Ilikuwa ni ujinga tu, yule PM aliongea akishupaza shingo kwamba wanaomtakia mabaya Rais wana husda, na kwamba eti Rais alikuwa ofisini anachapa kazi, bila hofu aliyasema hayo msikitini akiwa amevaa vazi la heshima kanzuHivi walipokua wanasema rais yupo ofisini anachapa kazi walikua wanamaanisha nini wakati rais alikua haonekani.
Naona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Uzuri wake ni upi?Hata Mkapa alupelekwa hapo ni hospital nzuri tu
Eti watakimbia, nyambafu kabisa hao, hivi walikuwa wanaficha nini hasa??Tukimbie sio ? jamaa mnapenda kudanganywa ninyi daaah, Tatizo la tanzania ni ccm , OVA
kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Kuna nini tena jamani!??? Si tumekubaliana tuomboleze kwa amani, au!???Rudia tena ulichosema umesemaje ??
Rais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.
Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.
Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!
Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!
Aisee uliotaNaona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Yawezekana mshamba ni wewe unayedhani wananchi wote wana hofu kwa kuwa tu wewe na viazi wenzako mna hofu.
Mwanzo mlitaka tamko la serikali. Waziri mkuu kaibuka na kutoa tamko (achilia mbali viongozi wengine wa serikali waliotoa matamko yao akiwamo balozi wetu Namibia ambaye kimsingi alikuwa boss wa TISS hivyo anajua anachoongea).
Baada ya kusikia rais yuko poa nyie nyumbu mmegeuza gia mnataka ajitokeze. Serikali ndiyo inajua namna ya kuendesha mambo yake. Ucheni ujuaji, watafutieni watoto wenu ugali nyie nyumbu.
Kuna nini tena jamani!??? Si tumekubaliana tuomboleze kwa amani, au!???
Makamu wa Rais, Alieleweka sana; Kwamba katika kipindi hichi tushikamane, Ni mambo ya kawaida binadamu kukaguliwa kaguliwa; Angalau watu pale walianza kuelewa japo hakuongea moja kwa moja, pengine ili asilete taharuki kubwa ila ilikuwa nzuri; Majaliwa ndio amezingua sana.Hata huyo Makamu wa Rais naye alidanganya umma, hii inaonyesha hao sio watu wa kuaminika, ni bora wangalikaa kimya tu kuliko kudanganya umma.
Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Umeshutumu watu sana kuwa ni waongo.Hivi Mr Mzungu nadharia ya Nairobi & India haiadvoketi tena, maana naona now kahamia Halotel --- stroke and sijui what what hukooo!??? Mr Confusion-in-Chief!!! Ama kweli ukianzisha uzi mmoja wa uongo lazima tu uanzishe uzi mwingine na mwingine na mwingine tena ili kila uzi ufunike ule uliotangulia, but where!
Yaani uzi wa uongo unakuwa mreeeeefuuuuu kama urefu wa reli & treni yetu ya umeme & mwendokasi. Asante na heko kubwa awamu ya 5 maana sasa Tanzania inakuwa zaidi ya Ulaya. Lazima Borris Johnson this time aje apangishe Ghetto Kigamboni ama Tanga!
Wewe na wapinzani nani mpuuzi?wana jf ukifuatilia mitandao ya kijamii kwa sasa issue kubwa ni juu ya mpendwa wetu JPM lakini nimekuja kugundua kuwa wapinzani hapa nchini wanampenda zaidi raisi wetu maana hawalali wanakesha kusikiliza atazungumza muda gani.
Niwatoe hofu tu kwambakama mama yetu Samia na Waziri mkuu walivtotuambia mpendwa wetu yupo salama na tusiwenahofu ambayo wapinzani kwa upendo wao kwa rais mengine wanazushayakipuuzi
Nawasilisha