Hivi Mr Mzungu nadharia ya Nairobi & India haiadvoketi tena, maana naona now kahamia Halotel --- stroke and sijui what what hukooo!??? Mr Confusion-in-Chief!!! Ama kweli ukianzisha uzi mmoja wa uongo lazima tu uanzishe uzi mwingine na mwingine na mwingine tena ili kila uzi ufunike ule uliotangulia, but where!
Yaani uzi wa uongo unakuwa mreeeeefuuuuu kama urefu wa reli & treni yetu ya umeme & mwendokasi. Asante na heko kubwa awamu ya 5 maana sasa Tanzania inakuwa zaidi ya Ulaya. Lazima Borris Johnson this time aje apangishe Ghetto Kigamboni ama Tanga!