Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Hivi walipokua wanasema rais yupo ofisini anachapa kazi walikua wanamaanisha nini wakati rais alikua haonekani.
Ilikuwa ni ujinga tu, yule PM aliongea akishupaza shingo kwamba wanaomtakia mabaya Rais wana husda, na kwamba eti Rais alikuwa ofisini anachapa kazi, bila hofu aliyasema hayo msikitini akiwa amevaa vazi la heshima kanzu
 
kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.

unawasikiliza kina mwigulu na majaliwa ? majitu maongo sana hayo....umeona sasa ? badala waseme ukweli tumwombee wanaropoka uongo na kukamata wasema ukweli
 
Rais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.

Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.

Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!

Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!

Jamani atapigaje kazi mtu alikuwa yupo hoi, hivi ninyi anawadanganyaga nani??
 
Yawezekana mshamba ni wewe unayedhani wananchi wote wana hofu kwa kuwa tu wewe na viazi wenzako mna hofu.

Mwanzo mlitaka tamko la serikali. Waziri mkuu kaibuka na kutoa tamko (achilia mbali viongozi wengine wa serikali waliotoa matamko yao akiwamo balozi wetu Namibia ambaye kimsingi alikuwa boss wa TISS hivyo anajua anachoongea).

Baada ya kusikia rais yuko poa nyie nyumbu mmegeuza gia mnataka ajitokeze. Serikali ndiyo inajua namna ya kuendesha mambo yake. Ucheni ujuaji, watafutieni watoto wenu ugali nyie nyumbu.

Unamtukana mwenzako kwa maoni yake tu binafsi tu. Sasa ukweli uko wazi, unakukodolea macho mbele yako...

Mpaka hapo nani mjinga? Obviously, ni wewe. Au siyo?

Aah bwana, kubali tu mshkaji maana huo ndio ustaarabu na uungwana. Ni kwa faida yako kukiri kosa na kuomba msamaha. Faida haiko kwa umwombae msamaha....

Yupo anaendelea kuchapa kazi siyo?. Okay. Hata kaburini zipo kazi. Anachapa kazi kweli kweli...!!
 
Wakati mwingine hata wana maombi wanashindwa kutoa maombi sawa na ukweli uliopo jambo ambalo linamfanya shetani atumie nafasi hiyo.

Kuumwa si siri, nini anaumwa ndio siri, viongozi wenye mamlaka ilitakiwa kuweka wazi kuwa Mh. Rais ni mgonjwa na hivyo wenye kuomba waombe na kumlilia Mungu juu ya kumnyanyua Mh badala yake watu wanafichaficha. Kama waliamini kuna maadui wanaomwombea mabaya Rais, walitakiwa pia kuamini kuna wana mapenzi mema tena walio wengi wanaomuombea mema Rais.

Tuache kuishi kwa nadhani......
 
Hata huyo Makamu wa Rais naye alidanganya umma, hii inaonyesha hao sio watu wa kuaminika, ni bora wangalikaa kimya tu kuliko kudanganya umma.
Makamu wa Rais, Alieleweka sana; Kwamba katika kipindi hichi tushikamane, Ni mambo ya kawaida binadamu kukaguliwa kaguliwa; Angalau watu pale walianza kuelewa japo hakuongea moja kwa moja, pengine ili asilete taharuki kubwa ila ilikuwa nzuri; Majaliwa ndio amezingua sana.
 
Hivi Mr Mzungu nadharia ya Nairobi & India haiadvoketi tena, maana naona now kahamia Halotel --- stroke and sijui what what hukooo!??? Mr Confusion-in-Chief!!! Ama kweli ukianzisha uzi mmoja wa uongo lazima tu uanzishe uzi mwingine na mwingine na mwingine tena ili kila uzi ufunike ule uliotangulia, but where!

Yaani uzi wa uongo unakuwa mreeeeefuuuuu kama urefu wa reli & treni yetu ya umeme & mwendokasi. Asante na heko kubwa awamu ya 5 maana sasa Tanzania inakuwa zaidi ya Ulaya. Lazima Borris Johnson this time aje apangishe Ghetto Kigamboni ama Tanga!
Umeshutumu watu sana kuwa ni waongo.

Vitu msivyovijua muwe mnakaa kimya.
Ujuaji mwingi mbele kiza.

Nadhani umejifunza.
 
wana jf ukifuatilia mitandao ya kijamii kwa sasa issue kubwa ni juu ya mpendwa wetu JPM lakini nimekuja kugundua kuwa wapinzani hapa nchini wanampenda zaidi raisi wetu maana hawalali wanakesha kusikiliza atazungumza muda gani.

Niwatoe hofu tu kwambakama mama yetu Samia na Waziri mkuu walivtotuambia mpendwa wetu yupo salama na tusiwenahofu ambayo wapinzani kwa upendo wao kwa rais mengine wanazushayakipuuzi

Nawasilisha
Wewe na wapinzani nani mpuuzi?
 
Back
Top Bottom