Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Hizi kauli za mzima anachapa Kazi zimewaletea maswali watu wanauliza mlisema mzima kisha mkatangaza amefariki hili linaleta maswali.
 
Upo Chato mjane!?
 
Upo Chato mjane!?

Kuna nini tena jamani!??? Si tumeambiwa na Rais wetu kipenzi tufutane machozi kwa upendo!??? Huu ujasiri mnautoa wapi sasa hivi, wengine hata peni tunashindwa kushika!??? Kama mizodoo imeanza sasa kabla ya maziko, msiba ukishasahaulika sijui itakuwaje!??? Hivi uleee msemo wa ^Kufa kufaana^ haupo tena!??? Naona ni mwendo wa kuvaana tuuuu!!! Anywezs, karibuni Chato tumsitiri kipenzi cha Watanzania, Shujaa wa Afrika, Mwanamageuzi, Mzalendo halisi πŸ™‚
 
Labda na yeye pia alifichwa
 
Ulishafyatuka akili kabisa we mzee
 
Huyu Mwamba Ilipaswa Aliombe Taifa msamaha kwamba Raisi Alikua ni mzima ila amefariki ghafla kutokana na ugonjwa ulikua unamsumbua kwa muda mrefu lakini haukuwa hatarishi kwake kimaisha.
 
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] Vipi wameshaumbuka?
 
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Heheheehehe
 
Kufa mkuu kila mtu atakufa, ogopa Sana kujaza mawazo yako vitu HASI, kila neema, dhambi, utajiri, umakini, nk huanzia mawazoni mwetu....kufa kwa mtu yoyote hakuongezi wala kupunguza kitu kwangu au kwako...hapo ulipo unajua utakufa Sana ngapi?
Unaendeleaje wewe mbishi wa lumumba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…