Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

Mungu amjaaliye apone haraka kwa vile nchi hii wazuri hawafi; na mzee Lowassa alikuwa mtu mzuri na swahiba mkubwa wa Kikwete aliyempisha kiti cha urais mwaka 2005.
 
Baba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
Huo sio ubinadamu, toa pole basi.Mbona mchezaji wa mpira mwanae anapokuwa mchezaji au mwanamziki mwanae anapokuwa mwanamziki hatusikii maneno kama hayo.
 
Hivi hivi wakamtuma Mzee Kingunge.

Hivi hivi wamemtuma aliyeratibu Mheshimiwa fulani,

Leo yuko kwa huyu.

Maombi ni muhimu hapa.
 
Binafsi nilimuota mzee Lowasa akiwa na furaha anacheka, hivyo tu! Its not more than a month.

I wish him quick recovery mzee wetu [emoji120]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ugua pole kada mtiifu kwa chama n serikali
 
..Jpm alifia Nairobi Kenya.
Sio kweli!. Not true!. Kuna kitu kinaitwa utii kwa mamlaka, ni kama utii kwa wazazi, Mama yako akikuambia baba yako ni huyu, unapaswa kumheshimu kama baba, hata kama umefanana copyright na jirani next door!.

Taarifa za msiba wa JPM zilitangazwa na the highest authority in JMT, the president of URT, kuandika anything contrary na tulichotangaziwa, hata kama ndio ukweli halisi, it's undermining the authority kuwa Watanzania tulidanganywa na the highest authority, hivyo kupunguza imani kwa authority hiyo kuwa inaweza kudanganya which is not good at all!. Kauli ya mamlaka ile ni final and conclusive hata kama ni ya uongo, uongo huo ndio ukweli uliopo hata kama sio ukweli halisi!.
P
 
Haija ingia akilini. Kumbe Muhimbili, Mzena, Mlonganzila, nk ni kwaajili ya makapuku!!!?!!!😠😠😠
 

..wanasema kafia Nairobi Hospital.

..kwenye chumba kilekile alichokuwa amelazwa mbaya wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…