Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

Ukweli ni ukweli, na utabakia kuwa hivyo Dunia ya leo yoyote anayetaka kufanikiwa kiuchumi ni lazima afwate christian western economic system, hata Wachina waliacha Budhism na kufwata western leo hii ni Super power, Japan alifwata western christian economic system, hata Emirates na Gulf States zote waliacha Arabic culture na kufwata western christian economic system na ndio maana leo hii wamefanikiwa, hivyo hata sisi ili tufanikiwe hakuna njia nyingine isipokuwa western christian economic system, huo ni ukweli!
Udini.
 
1687280167145.png
 
Hawampendi Majaliwa lkn ndiyo mtu pekee sober kwenye hiyo serikali yenu, halafu Majaliwa ana western Christian values, yuko vizuri basi tu!

Hapa una maana ipi mkuu hasa kusema western christian values? Kwamba mtu akiwa hivyo ndo ana akili au muelewa au? Huu ndo udini sasa na wote wanaosema mkataba huu unapingwa kisa tu ni Mwarabu na wameambatanishwa na Uislam ndo maana unapingwa na inaonekana nguvu inatoka sana upande wa viongozi wa Dini/Kanisani

Mkataba wanaweza ku review lkn si kuuponda/kupinga wote sababu nia hasa kuleta ufanisi ambao nyie mmeshindwa
 
Kusema kwamba christian values ni bora siyo udini ni ukweli, Dunia nzima inafwata hivyo hata Waarabu wenyewe wanafwata western christian economic system, unafikiri ni kwa nini labda ?

Western christian values zip ambazo ni Bora wewe,uchoko nao ni values??Qatar ameendesha world cup ya mfano kuwahi kutokea na kagomea christian values za kuadvertise ushoga waz waz,hayo kawaambia kwenu kwimba huko labda watakuelewa
 
Nyie mkidharau kama kawaida yenu hao watu tutawafukuza kwa njia nyingine siku mkiondoka madarakani...Hamtakaa milele....Tutawafukuza watuachie mali zetu itakua kama tulivyopigania Uhuru
 
Alafu mkiambiwa mmejaa udini mnabisha!!!

Mie ni mkristo ila wakristo wa nchi hii hasa viongozi wa kanisa katoliki ni wading sana
Una ukristu gani mbwa we,bila Rc unafikiri Babu zako wangekuwa na maisha gani kule kjjn kwako?
 
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI

ENOC Group, a leading integrated global energy player, and Tanzania’s Ministry of Energy (MoE) today signed a Memorandum of Understanding (MoU) to develop a national import gateway and world-class storage facility for oil & gas products to serve the country as well as the Eastern and Central Africa region. The partnership is in line with the UAE's 2023 key priorities to expand economic partnerships in Africa and supports the Dubai Economic Agenda of doubling the size of the Emirate’s economy over the next decade.

The agreement was signed by His Excellency Saif Humaid Al Falasi, Group CEO at ENOC, in the presence of His Excellency January Yusuf Makamba, Energy Minister of Tanzania.
 

Attachments

  • CAA6FDE0-D00E-4C84-A895-2C93F546F24F.jpeg
    CAA6FDE0-D00E-4C84-A895-2C93F546F24F.jpeg
    23.3 KB · Views: 2
  • EB66FD89-7AA2-43AD-9849-ADAB8F8CF0A9.jpeg
    EB66FD89-7AA2-43AD-9849-ADAB8F8CF0A9.jpeg
    66.2 KB · Views: 2
  • 6140D422-BE85-4275-9BF2-C2A2F2EA4DD2.jpeg
    6140D422-BE85-4275-9BF2-C2A2F2EA4DD2.jpeg
    140.9 KB · Views: 2
  • 8091DC0D-7A30-4084-856B-8E0CF97784A1.jpeg
    8091DC0D-7A30-4084-856B-8E0CF97784A1.jpeg
    51.3 KB · Views: 2
Hawampendi Majaliwa lkn ndiyo mtu pekee sober kwenye hiyo serikali yenu, halafu Majaliwa ana western Christian values, yuko vizuri basi tu!
Endelea kumwamini tu Matajario sijui majaliwa! Huyu jamaa ni wa kumpuuza. Tangu atuambie kuwa jiwe yupo na afya tele na anachapa kazi, sitakaa nimwamini tena matarajio
 
Back
Top Bottom